Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,041
- 1,294
DARK PSYCHOLOGY 🧠
1. Mtu akikuomba msamaha, usiseme “hakuna shida.”
Sema “Asante.”
Hapo anahisi kosa lake lina uzito… na mara nyingi hatolirudia.
2. Ukipiga miayo kisha mtu mwingine naye akapiga miayo…
ujue alikuwa anakutazama.
3. Ukiwa kwenye ugomvi, usitumie matusi. Muonyeshe ishara Dole gumba chini (👎) linaumiza zaidi kuliko matusi mengi.
4. Ukiangalia midomo ya mtu wakati anaongea, anahisi unavutiwa naye.
Ukiangalia paji la uso, unaonekana una mamlaka zaidi.
5. Mtu akikufokea sana, muulize tu:
“Una siku mbaya leo?”
Mara nyingi hapo hasira hushuka.
Watu wachache wanaelewa michezo hii ya akili.
Abuu Abdillah