Dark days 17/03/20...

Ukitembelea Rombo, Marangu, Machame mpaka kibosho hakuna maji ya bomba, umeme bado haujafika na hakuna barabara ya lami mkuu Kilimanjaro hakuna maendeleo kuna walevi tu. Huo ukanda pia kuna kaya hazina choo wanajisaidia maporini.
Alafu anakwambia wasukuma ndo hawajitambui eti kaskazin wanajitambua akati nchi yote haijaendelea ko hata akijenga chato ni sawa TU
 
Shida ni uoga wa mabadiliko alideal na wafanyabiashara kwasababu wanasiasa walikua ni vibaraka tu wa wafanya biashara sawa hakua perfect lakini angalau vitu alifanya vilionekana kuliko alie Saini mkataba WA gas isio na thamani ,watu walikua wanaiba mafuta kwny Bomba la mafuta af wanafungua biashara za kuzuga tu wote kudeal nao ni kukurupuka?, chato hawahitaji uwanja wa ndege,stand,barabara watu mnalalamika adi chato kujengwa bank kweli? Mnaona Bora waliojenga hotel south, Bora walioweka pesa nyingi nje kuliko ambazo serkali inataka kukopa?
Weakness kibwa ya magufuri ilikua kwny democracy lakini ata hai walio tuletea democracy nani ana democracy ya kweli? Usa,uk,china,Russia, German,Japan angalia mifumo yao ya uongozi

Kaka umeongea vizuri na ukweli mtupu, ila nyumbu hawatakuelewa.
 
Kushirikisha na kuacha watuibie ni vitu viwili tofauti kabisa sasa wewe unapiga kelele magu kuzuia wizi wa wafanya biashara afu kama ni issue ya ukabira sizani kama Ina matter sana kama mtu kakidhi vigezo mbona aliwatoa akina tulia udsm akawapeleka serkalini, kabudi hao wote ni wasukuma, Samia kampa mwiguru fedha japo kila mtu anamkataa ni mzanzibar? Swala ni kua na watu sahihi tu
Mfanyabiashara anaiibaje serikalini ? Mwenye dhamana ya kutoa hela ni mtu aliyepo serikalini sio mfanyabiashara. Unataka kuniambia Mo anapata faida kuliko aliyempa tenda ya kusabaza mbolea ? Hakuna mwanasiasa aliyefilisiwa hata mmmoja. Mimi nawajua wafanyabiashara waliojenga biashara zao kwa tabu toka miaka ya 80 lakini Magu alikuja kuwafilisi. Kuna ambao walikufa kwa presha na msongo wa mawazo.

Hauwezi kulazimisha watu tufanane. Mpambanaji lazima atoboe hata uzibe ridhiki vipi. Magu alitakiwa acheze na wafanyabiashara lakini awaangamize na kuwafilisi wanasiasa. Hauwezi kuendelea bila wafanyabiashara, aliwabana lakini mwishoni alimfungulia kaka yake Rostam kesi ya ujangili ili Rostam arudi. Na baada ya kurudi na kuzindua Taifa Gas pesa ikaanza kuonekana. Ukiwa mjuaji watu wanakuacha, halafu wanasubiri ufeli na ulambe matapishi. Magu alikuwa Rais wa wajinga na wavivu kufikiri. Pichani hapo ni bilionea mdogo kutoka ujerumani, amerithi hisa za kampuni kutoka kwa Baba yake. Na ujerumani ndio taifa lenye uchumi mkubwa ndani ya Umoja wa Ulaya. Magufuli angekuwa hai angeulizwa ni sahihi huyu kijana mdogo kupewa hisa zenye thamani hii mapema angejibuje ?

1711035892742.png
 
View attachment 2940986
Ukiangalia apo wewe ndo mvivu kufikili Yani unadhani Wana siasa ndo Wana hela kuliko wafanya biashara 😂😂 wanasiasa na watu wa serikalini hua ni vibaraka tu Huwa wanapewa percent ndogo ya kilicho chotwa unasema unawajua matajiri walio jijengea fedha zao unajua walipata kwa njia gani,? Au kama alianza kuiba 80 kwakua kaiba mda mrefu basi imeshakua halali aendelee kuiba?
Io picha yako sijui ina uhusiano Gani na magu
 
Rafiki yangu aliyepewa dhamana ya kutoa mali ya umma ni mwanasiasa na sio mfanyabiashara. Na wafanyabiashara ambao wanapendelewa na serikali na kupata tenda kirahisi na watanzania wenye asili ya Asia na sio wengineo. Hauwezi kulinganisha hustle ya Mengi, Melau na Bakhressa, Dewji, Manji na Rostam. Rostam kapewa nafasi ya kuzindua Taifa gas bila tenda kushindaniwa. Viwanda vya Bakhressa vilikuwa mali za NMC alipewa bila ushindani. Manji alipewa tenda za ku-supply nguo Jeshini bila ushindani. Tunamalizia na Dewji ambaye ndio msambazaji mkuu wa mbolea na mmiliki wa mashamba makubwa ya katani. Hawa wote makazi yao ya kudumu sio hapa Tanzania. Ndio maana dola haipatikani maana wakipata faida hawachelewi kuipeleka majumbani kwao. Mtu hadi anakupa mkataba anajua inaingiza sh ngapi kwa hiyo hawezi kukubali ule kuliko yeye. Tatizo watanzania tunachukiana na huku watu wa nje wanajipatia faida. Tanzania ni taifa ambalo mgeni anaishi vizuri kuliko sisi.

Kuhusu hiyo picha ni kubwa JPM aliona kila tajiri ni fisadi. Na kuonyesha kubwa huyo dogo amerithi hisa zenye thamani ya dola bilioni tatu akiwa na miaka 14. Magu angesikia mahali mtoto wa miaka 14 amepewa shilingi bilioni 3 angeruhusu ? Binadamu hatuwezi kufanana kuna watu lazima watoboe. Na kupambana ni kujipambania wewe na familia yako.
 
Mwanasiasa angekua ndo mnufaika mkubwa anamhitaji mfanya biashara wa Nini ? Angekomba kila kitu wafanyabiashara ndo wamewaweka hao wanasiasa apo ili wawatumie kwa maslahi yao .wanasiasa ni matajiri kwako wewe hoehae ila mbele ya matajiri hawana kitu hao ndo maana saivi wako machawa tu kulinda matumbo yao
Magufuri alimpora nani hela nyingi kisa kapewa? Au ni chuki yako tu
 
Haujaelewa Magufuli alifungia watu akaunti ambao ni wafanyabiashara wa kawaida. Kuna watu wana viwanda na mahoteli. Kuna watu wanafanya biashara pasipo kufanya kazi na serikali. Unaowaona matajiri wakubwa wa nchi hii hawaumizi vichwa. Hao matajiri wakubwa wamebebwa na serikali hadi na serikali ya Magufuli. Ninajua watu wambao wamepambana toka miaka hio mpaka wakatoboa. Kuna watu walianza na udereva taksi mpaka kumiliki biashara kubwa. JPM aliweka nguvu Sehemu ambayo sio. Aliwafungia watu akaunti zao na kuchota hela kibabe. Baada ya kuona hakuna hela ikabidi amfungulie kaka yake Rostam kesi ya ujangilj ili Rostam aje. Baada ya Rostam kufungua Taifa gas na kuanza kuuza gas Kenya,Uganda na Rwanda angalau akapata ahueni. Alivyofariki wafanyabaishara walipata ahueni. angalau. Wanasiasa unaowaita vibaraka wana mali kupitiliza hao wafanyabiashara. Tembea uone usijifungie na watu hao hao kila siku.

Hauwezi kuzuia ubepari mtu anapambania familia yake na watoto wake akifanikiwa unataka awe sawa na mtu mjinga na mvivu wa kufikiri.
 
Mnabishana nini humu?! Makonda alishamaliza kwa kusema Wafanyabiashara wanaichangia CCM sababu ya hofu. Hofu ya nini! wanaweza kufilisiwa saa yoyote. Hakuna aliyehuru nchi hii. Yani Rais anaweza kutishia benk na zikazuia account ya mtu bila sababu za msingi. CCM imejaa walarushwa na mafisadi na Wafanyabiashara wanalijua hilo hivyo wanaishi nao. Na ukifanikiwa kuishika serikali unasamehewa kodi bila utaratibu. Bandari kuna rushwa ya kufa mtu, unadhani hawajui?! Viongozi wa Serikali ambao ni CCM wanajua na wanashiriki wizi. CCM ni wezi tunahitaji mabadiliko.
 
Haujaelewa Magufuli alifungia watu akaunti ambao ni wafanyabiashara wa kawaida. Kuna watu wana viwanda na mahoteli. Kuna watu wanafanya biashara pasipo kufanya kazi na serikali. Unaowaona matajiri wakubwa wa nchi hii hawaumizi vichwa. Hao matajiri wakubwa wamebebwa na serikali hadi na serikali ya Magufuli. Ninajua watu wambao wamepambana toka miaka hio mpaka wakatoboa. Kuna watu walianza na udereva taksi mpaka kumiliki biashara kubwa. JPM aliweka nguvu Sehemu ambayo sio. Aliwafungia watu akaunti zao na kuchota hela kibabe. Baada ya kuona hakuna hela ikabidi amfungulie kaka yake Rostam kesi ya ujangilj ili Rostam aje. Baada ya Rostam kufungua Taifa gas na kuanza kuuza gas Kenya,Uganda na Rwanda angalau akapata ahueni. Alivyofariki wafanyabaishara walipata ahueni. angalau. Wanasiasa unaowaita vibaraka wana mali kupitiliza hao wafanyabiashara. Tembea uone usijifungie na watu hao hao kila siku.

Hauwezi kuzuia ubepari mtu anapambania familia yake na watoto wake akifanikiwa unataka awe sawa na mtu mjinga na mvivu wa kufikiri.
Can you prove these allegations? Tusaidie ututajie hao watu unaodai Magufuli aliwafilisi. Pia tupe uthibiitisho wa kitafiti juu ya madai kwamba baada ya mdogo wake na Rostam kuachiliwa money circulation iliongezeka nchini following the inauguration of Taifa gas
 
Part 1 mdogo wake Rostam anafunguliwa kesi ya ujangili

View: https://www.youtube.com/watch?v=vl8EpKNeIoc
1711704099101.png

👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 31.10.2018
Part 2: Mdogo wake na Rostam aachiliwa kwa kulipa faini

View: https://youtu.be/1zOhcsecoVo
1711705173034.png

👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 21.12.2018
Part 3 Rostam anarudi nchini na kumpeleka lowassa Lumumba

View: https://youtu.be/nUXToHSW0eQ
1711704401255.png

👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 01.03.2019
Part4:Rostam bega kwa bega na JPM katika uzinduzi wa Taifa gas

View: https://youtu.be/IGblup4RPhg
1711704636848.png

👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 25.06.2019
Part 5:Baada ya Taifa Gas kufanya kazi vizuri kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu na mzunguko kuwa sawa kidogo.Rostam apewa kiwanda cha ngozi na aahidiwa ubunge wa Morogoro akiamua kugombea

View: https://www.youtube.com/watch?v=Bs18vR_OF4I&t=76s
1711704942756.png

👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 12.02.2021
Halafu naomba ujiongeze JPM alikufa lini ? Je kulikuwa na matatizo makubwa sana mpaka kumuhitaji Rostam ? Na je hayo matitizo yaliiisha kabisa au yalitulizwa kidogo ? Namalizia jiulize hayo matatizo ndio yalipelekea kifo cha JPM ? Unafiki ni kitu kibaya sana.
 
Part 1 mdogo wake Rostam anafunguliwa kesi ya ujangili

View: https://www.youtube.com/watch?v=vl8EpKNeIoc
View attachment 2948017
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 31.10.2018
Part 2: Mdogo wake na Rostam aachiliwa kwa kulipa faini

View: https://youtu.be/1zOhcsecoVo
View attachment 2948046
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 21.12.2018
Part 3 Rostam anarudi nchini na kumpeleka lowassa Lumumba

View: https://youtu.be/nUXToHSW0eQ
View attachment 2948034
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 01.03.2019
Part4:Rostam bega kwa bega na JPM katika uzinduzi wa Taifa gas

View: https://youtu.be/IGblup4RPhg
View attachment 2948037
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 25.06.2019
Part 5:Baada ya Taifa Gas kufanya kazi vizuri kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu na mzunguko kuwa sawa kidogo.Rostam apewa kiwanda cha ngozi na aahidiwa ubunge wa Morogoro akiamua kugombea

View: https://www.youtube.com/watch?v=Bs18vR_OF4I&t=76s
View attachment 2948040
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 12.02.2021
Halafu naomba ujiongeze JPM alikufa lini ? Je kulikuwa na matatizo makubwa sana mpaka kumuhitaji Rostam ? Na je hayo matitizo yaliiisha kabisa au yalitulizwa kidogo ? Namalizia jiulize hayo matatizo ndio yalipelekea kifo cha JPM ? Unafiki ni kitu kibaya sana.

Ilikuwa Feb 15, 2021,
Alipotoka hapa ndio ukawa mwanzo.....

Hizi macrophone nani alifanya setting?

Ukiunganisha dot mbalimbali kuna harufu fulani...... Huko mbeleni ikitokea kuundwa tume watu waliohusika na vyombo hapa wafanyiwe nao uchunguzi.......
 
Tuendeleee ..............

The story goes back to 2006 when mr born town was a CEO of the company and decided to prepare a list of apointess to help him with a plan" 2015" katika list yake ya 40 names, palikuwepo na kijana mmoja, an ex teacher and now days we call him mzee malija !!

He took him in and apoint him as one of his branch mangers wa kampuni !! Japokuwa kijana huyu alisha jiweka kwenye mkondo wakupata ajira, born town alifanya kazi ya kumscan na kujiridhisha kuwa angeweza kumsaidia kwenye moja ya roles muhimu huko mbeleni!!

So Alihakikisha he keeps him away from scandles, na haikuwa kwa bahati mbaya the guy kuwa out of cheep media and scandles!! He was in his plans to do something big ili kuendelea kuifanya kampuni ibaki chini ya himaya yake!!

It was him " mr born town" aliye mwambia mzee malija to compete for a company board member position in 2010, na kumsaidia kuupata u board member kisha appointed him as a deputy head department of local investments in the company from 2010 to 2015.

Siku zote born town was a head of time!! And always ni tajiri wa plans and choices to rich the targeted goal!! Katika vitu huwa anapenda kufanya kwenye kuiweka plan yake strong and intanct, siku zote uhakikisha anacharacters ambao wako kwenye plan without knowing wako kwenye plan, yaani characters wa akiba, na hawa huwatumia kudivert the story or attention ambayo direct ingekuja kum hit back yeye either in positive or negative way!!

So Wakati late CEO anamteua mr malija kuwa a third high rank assistant wake alikuwa ame jiwekea vigezo vyake! hakutaka mtu ambaye analink na born town, popular kuliko yeye with scandles!! alitaka mtu awe na uzoefu tu wakufanya kazi ndani ya kampuni na ni member mwenzake kwenye company party and most important atakaeweza kumcontrool!!

Alitaka mtu asie na "uteam" haswa baada ya yeye ku ukwaa u CEO bila kutokea kwenye team kuu mbili ambazo zilitaka kupelekea the destruction of the company!! Ili kiwa kazi ngumu since asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanamzunguka walikuwa kwenye either team mango or team white hair and both teams were under the leaderships of most feared leaders yaani mr born town and mr white hair himself!!

So Katika kufanikisha hilo aliwaomba watu wake wa security kuchunguza baadhi ya majina ya watu aliyokuwa ameyafikiria kuwa assitants wake, Na katika yale majina hakukuwa na jina la malija!! But Alipopewa feedback alikuta report ina majina matatu tu, jina la february, jina la mzee mmoja maarufu aliyetumika kumde populize mr white hair na jina la mwisho lilikuwa jina la swahiba wake mr ngatwa!!

Alipoyaona haya majina, la kijana february kwanza halikuwa kwenye list yake aliyowapa wakaichunguze, so akawa ameshtuka yaweza kuwa amechomekwa makusudi na watu wa born town, so akamkata, akabaki na mawili, still kaona hata hao wawil sio anaowataka kwenye vile vigezo vyake, so he was in dilema,

Akiwa katika sintofahamu kikos chake kikaja na pendekezo mapya: jina la mzee malija na kijana mmoja unknown kabisa new to the game mr shangwabu, late CEO was suprised na kutaka info ya kutosha kuhusu hawa wawili!!

Team ikatoa maelezo ya kutosha kuwa husu those two, late CEO kawa interested na malija zaid as aliona kuwa malija was still new to the company, ana five years tu kwenye high rank position in the company, hana scandle yoyote ya kuiibia kampuni na ni unpopular sana, na kizuri zaidi details zina muonesha ameonekana kutokuwa deep Or linked na mr born town!! So anavigezo vyote ulivyoviitaji toafuti na wale wawili wa mwanzo na huyu mpya aliejoin as a board memeber in 2015 as a new comer

So he decided yeye mwenyewe aingie mzigoni kujiridhisha kupitia task force yake ndogo aliyoiunda baada ya kuwa CEO, task force ile walipewa 12 hrs, wakaingia kazini then wakaja na ripoti ku proove kuwa mzee malija is an innocent guy and most important ni correct choice since wametrace kila kitu about him and there was no any datta came out akiwa na makando kando mengi na yakutisha tofauti na wale wengine!!

So late CEO decided to take the name to board members, then mr malija akatangazwa rasmi kama THIRD assistant wa late CEO!!

Born town alipoona kijana wake amekuwa appointed as a third assistant in the CEO office unnoticed, he was so happy as now he know ana mtu mbili around the late CEO. Suprisingly mr malija knew nothing, he thought ni ngekewa ndio imemfikisha hapo, but very soon came to know how he made to the top! He was shoked!!

*****************************************************

"Wakati naingia kwenye hii kampuni....... kampuni ilikuwa ishageuzwa kuwa shamba la bibi! Watu walikuwa wanajipigia pesa kila idara!!! nyinyi wafanyakazi mgeendelea kuwa masikini sana, tena masikini wakutupwa, na nyinyi wateja bidhaa zingekwa juu!! Watu wamekula na kufuja mali za hii kampuni bila huruma!! kuna watu humu wanafanya wao biashara badala ya kampuni, yaaani wanatumia jina la kampuni kufanya biashara zao!! Nimewadhibiti, leo mnaona tumeanza kupata pesa tunaboresha miundombinu ya kampuni, unafikiri wanafurahi?? Hawafurahi wanakasirika, sasa mimi nimejitoa sadaka kwa ajili yenu, sadaka ya kupambana na hawa watu ....................."

Aiseee leo Umemkumbuka sana huyo jamaa eee!??

Hahaha, hapana bwana nipo napita pita mtandaoni hapa nimekutana na mtu ka mpost!!

Nani huyo kampost? Wanampenda sana jamaa!! Ila ndo hivo sasa....... he is gone, hawana namna!!!

Yes wanampenda penda!! Na hapa naona coments za aina mbili, kuna wanao msifia na kuna wanao mkandia, Sema kuna vitu jamaa alituweza! Kajamaa kalikuwa na guts!!

True!! Shida nayeye alijisahau we si unaona alivyokuwa anajenga ka empire kake and hunted us like animals! But anyways acha apumzike!! He will be remembered na wafuasi wake tu!!

Nakweli, jamaa nae alikua rangi mbili, sikuwahi kuamini yeye ndiye alimshinda mwenyekiti kwenye umiliki wa jengo lile lenye jina la mwanzilishi wa kampuni hii kule ziwani, kwa kulichukua kibabe sana yaaani!!

Lile la pale round about?? Hizo ni story tu, pale anahisa nothng else, sasa We unasema hilo, kuna mambo huyajui we acha tu!! Kuna vitu kwenye minerals huko potezea tu, Mengine tunanyamaza, alitutandika haswa!

But sie tumemtandika zaidi!!

But this company will fail kama tutaendelea hivi!! Production cost ziko juu sana, customers wanacomplain sana they cant afford our products!! I think we have to find an alternative!! Tuwalegezee kidogo wateja wetu, maana hawa ndio wenye kampuni!! We need to calm them, joto nikubwa sana mtaani, tunasemwa sanaa unless we dont want to be in power anymore!!

We need angalau kupunguza our production cost ili some of our products ziwe cheap kiasi! Maana sasa hivi most of our product zina bei juu sana!.. tutafute alternative ya kupunguza hiz kelele!!

What alternative??... why talking like a kid son!! Penda kukaa Kaa kimya especially for things huzijui vizuri! Iko hivi, we need money. Tena alot of money, unapaswa ujue 2025 is near and its going to be very very hard!! We need to pay the securtiy agencies, especially top ones, unajua nikiasi gani huwa tunawapa??

we need to buy tisherts, capes, vitenge khanga, and for some customers we need to buy them food to atract them voting for our company CEO! So tunahitaji a lot of money, Alafu ukumbuke in five years tumepitishwa kwenye kikaango kigumu sana, tulikuwa very well economically sisi kama members wote unaotuona hapa but now ndio tunajaribu kusimama tena!

tulikombwa kila kitu kwenye accounts zetu na tukabaki watupu! Yaani we remained with nothing, ni our time to feed our accounts first!! And this time we need kila mmoja ahakikishe fedha zake zipo salama, we dont need kupitia tulicho kipitia hii miaka mitano nyuma

Kama kuna mtu hana options on how to protect his money, ndo tunatumia meeting hizi kusaidiana! So when we become strong again hapo tutaregulate hicho unacho kisema, but pia haitakuwa vile unataka yaani tushushe price za bidhaaa kwa kiwango hicho??? Big no!! Tutawaongeza mishahara kidogo wa afford kununua na sio kushusha prices we unafkiri Izo pesa tutazitoa wapi??

ok......Sawa,..... Lakini hawa watu watafika mahala watashindwa kununua kabisa hizi bidhaa zetu and there is a lot of critics kwenye mitandao ya kijamii, nyie hamuoniiii ?? ....

Son, iko hivi ......Wewe unafikiri sie ni wajinga?? Sikiliza ..... Hizo kelele zisikutishe, nikawaida kabisa, as time goes on hawa niwasahaulifu watasahau na kuzoea na they will relax!! Hizo critics unazoziona, ni kwamba not every critics are critics, tutakupa somo baadae as most of them the so called "critics" are coming from our own people doing their job!!!

Sometimes unapsawa kuwa na team ya watu pretending like they are fighting against us ku create common ground but wanakuwa ni watu wako!! So relax! You have mothing to worry about!

Ah!! So hizi kelele zoote ni za watu wetu?? U mean their all paid actors??? Sawa But guys tuwe na ubinadamu hata kidogo.... Life is very hard kwa street why doing this!! Kwa nini tuwafanyie hivi hawa ndugu zetu?? Sawa tuna collect but kuna mambo tunafanya yanakwenda public yanaleta demage kuelekea 2025, kuna mtu ndani ya kampuni hii ameagiza vifaa vya hoteli yake kwa jina la kampuni hii!!! Kuna wengine naona hawailipi kampuni kutumia jina la kampuni kushusha mizigo yao binafsi wanayoagiza kutoka nje hiyo sio sawa!!

hahaha.......Kijana wewe bado mdogo sana! Hem tulia kwanza, unamuona mwenzio pale aliyekaa kwenye kile kiti karibu na mzee wa tembo, huyo alikua kama wewe, alikuja na speed kama hiz hiz!! but now look at him.........

Huyo Anamiliki hotels kubwa mbili!! ana mabus yanamuingizia pesa kila siku!! Wewe umekaa hapo upo unaogea vitu vya kipumbavu pumbavu tu! Njaaa njaa hizi zina wasumbua sana vijana heb relax kwanza and enjoy haya maisha! Wewe umeshafika huku jikoni, tumia fursa ukae sawa economically!

Hauko hapa kufia watu wasiojielewa, your here for your self and your family..... And let me remind you.... Usirudie tena kuongea hivi mbele yangu aumbele ya watu wengine haswa the chair man akiwepo thank god amechelewa kufika hapa na wengine hawajakusikia next time don't bring these kind of stories to me or in the meeting sawa??

Doh!! But I thought we were the choosen ones, that we are all here to protect this company and protect the majority especialy our costumer kumbe ndio hivi.......

Yes we are the choosen ones decorated to enjoy this company profits and benefit on behalf of the others!

We the elites, nijukumu letu kuhakikisha sisi and our families tuna enjoy this business for life!! so If you fill uncofortable with how we handle things down here you can sign out!!

But you know what will happen to you after doing kitu kama hicho Sindio?? We will hunt you down, you and your familly, imean you and your kids, grand kids and friends wooote tuta deal nanyi until we are safe!!So kama hujui cha kuongea its better you listen and do as your told!!

Ok sawa!! But we are hurting this people!! And sasa natafakari ku opt out of this group, trust me adui unaemjua hakupi tabu, first time nimeitwa hapa!! the whole process ya mimi mpaka kuingia humu made me fiil so special, i thought we are the one to die for this company, to protect it!! I thought we arebthe one to ensure safety and profit and love kwa wateja wetu but this.....this istn what i signed for!!

Chochote mtafanya am cool but i wont be among you!!

So you want to be a snich???

Nope!! I want to be me!! I want to ensure this company is getting huge profit while providing good care to our customers nothing else!!

Okey!! We shall see!!

Hayo yalikuwa ni mazungumzo ya Members wa born town elites group yakitawaliwa na kijana, one of the new guy kwenye meeting group ya mr born town akizungumza kwa hisia na uchungu na mzee mmoja wa makamo kuhusu anafikiria nini juu ya kampuni, kwamba wapi kampuni ilipo wapi inaelekea na pia akiadress changamoto ya bei kubwa za bidhaa kwenye kampuni!!

Kijana huyu ni mmoja wa vijana wageni kabisa kwenye vikao vya aina hii!Wakati wakizungumza haya member wengine walikuwa wamekaa kwenye viti vyao wakisikiliza wakiwa wanamsubiri mr born town yaani mr chair man kufika tayari kuendesha kikao!!

What they didnt know ni kwamba, ther chair man alikuwa amesha fika pale zamani sana, na alikuwa upande wa pili wa jengo akisikiliza mazungungumzo yao yoote waliyokuwa wakiongea

Mara nyingi chair man, Alifanya hivyo kutega vifaa vinasa sauti, kwenye venue zote za mikutano yao haswa kwa baadhi ya vikao lengo ni kujua nani ni nani, na members wake wanazungumza nini juu yake!!

Akiwa na ipad yake, chair man anaingia kwenye kikao taswira yake ya leo sio ile yakawaida! kila mmoja anasimama, then bila kuzungumza chochote wala kuitikia salamu anapita moja kwa moja anakaa kwenye kiti chake ambacho kinampa fursa yakuwaona members wengine woote ana smile .....

Then anasema......

"Kwa kila kitu nlichokiskia humu ndani....... nafikiri its time ni wakumbushe who i am!

without me, leo msingekuwa hapa mlipo.......without me leo hii kampuni ingesha kwenda kwenye mikono ya yule marehemu na kundi lake!! Ukiona uko hapa know you are breathing and your bank accout is safe just know you have something special to make in this company!! So Show some respect when you are talking about me!!

Sawa???

Yes boss!!

Turn on your tablets! ..... Log in to our app, (anakaa kidogo nakurekebisha miwani yake)... there is a document in that app its called "blue print" (anauliza kama wameiona)

read it very careful and fast then keep it to your self!! The document will disappear after 12 hours! Any critics, suggestions send it direct to me!!

This is a document that tell everything about us and our future!! Its about who is goin to be who in next 30 years! Either we will be here alive or not!! Its about the fate of this company and its customers!!

Inside you will learn We are going to give our customer a new culture, a new way to run things in this company but in our terms! so use these 12 hour to learn what will be your responsibilties for the next 30 years instead of gossiping about people!!

Next Kuna hiyo hard coppy, anaisambaza my assistant!! Isome pia, hiyo ina names of people to terminate! It shows how these people have organized themselves for their take over in 2025!!

I have brought this to you as kuna new members hapa!! Wote tunapaswa kuwajua wale wote tunaopambana nao! And those names hapo ziko categorized in to two! We have red flaged names and orage flaged names! Hawa red flaged , we need to take them very very sereous, baadhi tusha waonya but still wanaendelea na plan zao zakutaka kututake over!!

mkiangalia hapo kwenye red flaged names mtaona kuna our CEO her self, huyu tunajua kila kitu kuhusu yeye!! hatua tushazichukua but she is still working behind my back, mpaka sasa najua anashirikiana na nani, wapi na saa ngapi.

Amefika mahala risking company security kwa kuomba msaada kwa makampuni jirani, we are mmonitoring her vizuri sana! Yupo kwenye red flaged names sababu she has a group of people whom are secretly conducting meetings and plans to end us!

am using her as a bite!! Through her,.... i will have the list of all the people who wants us gone!!! And trust me, before we are gone ...... i will deal with them, one by one!!

Then there is guy mr malija, huyu tulisha mstebolize but he still belive he can be the CEO of this company: He is also secretly working stupidly with wrong people!! Nina taarifa hapa itakapokuwa completed ntawapatia on what he is doing!! Some of the names anaoshirikiana nao are also included in the list!!

Hiyo Orange group, yote ni ya kwetu, ni vijana wangu, najua wanapenda hii nafasi ya u CEO but wengi wao hawana quality ya kuwa CEO so mkiisoma Viziri huku kwenye "BLUE PRINT"mtaona nani na nani atakuwa nani kwenye position ipi na wakati gani in 30 years to come!!

So nawapa hizi documents kila mmoja azipitie!! Kwa umakini, i want all of us tuwe kwenye same boat!! Kama Una any question, doubt or suggestions our channels are oppen!! Bring the heat!! I need creativity in this!! Nimeeleweka??

Yes boss!!

*************************************************

THE RETURN OF BRANCH MANAGER

So is evrything fine??

Yes ni fine kiasi! Nimekutafuta sababu nataka kufanya jambo

Jambo gani tena!! Tulikubaliana uta lay low mpaka 2023 katikakati huko, now untaka kufanya nini bro??

Skiza, hawa watu wanaendelea kunifuatilia sana!! Account zangu zote mbili zimefungiwa, pesa imezuiliwa kutoka!! Siwezi toa wala kutuma pesa Na anayefanya hivyo ni huyo kijana wa born town, kachukua na mashamba yangu manne, na nyumba anataka kunidhurumu
Thats not fair aisee

Wewee........hem tulia kwanza!! Alafu shukuru mungu kwa hayo ni madogo tu, wewe na kufahamu, izo nipesa kidogo sana kwako, unachopaswa kujua nikwamba yaani sasa hivi na wewe ungekuwa mahakamani au gerezani kila siku kama mwenzako yule!! Ni vile CEO anamplease sana mzee mwenye kampuni yake asi deal na wewe so chill tu bana!!

Kumbe................. ila huyo CEO wenu lazima afanye hivyo maaana anajua alicho kifanya before!!

What did she do?? Tell me

Big no.... Thats my life, siwezi kuiweka wazi hii kwa sasa ila ukifika wakati sahihi nitasema

So unaconfidential info kama hiyo una kaa kimya and mbona utaki kushare nasisi, na unajua tunafight urudi on top??

Skiza mimi sio kama huyo uliyemsema pale mwanzoni anazungushwa mahakamani kila siku! Despite watu wananiona mimi kama mpuuzi but trust me najua kujiongeza!! We unafkiri all those things nlikua nafanya situnzi kumbukumbu???? Sisi ni binadamu kugeukwa ni wakati wowote!! So they need to protect me at any cost!!

Aisee hebu Nipe hint tu hata kidogo just a hint!! Wht did she do ?????

I told you thats is a reson why she will never hurt me, include huyo mzee mnamuogopa sanaaa!! They both know what i have and how powerfull it is!!

Hahaha!! Huyo mzee angesha deal na wewe mda mrefu sana, naona ni CEO strategies that your still alive!! Ila nakukumbusha unajua kila kitu kuhusu huyo mzee so be very carefull!! Sema unapaswa kushare nasi iyo taarifa bwana!!

Achana na hayo.........We skiliza kwanza, the reson tunaongea minataka unisaidie hayo mambo yangu yaishe, ili niendelee kutulia!! I need my money and my house nimepost insta kule katafutwa mwanashera wangu na watu wa huyo mzee, hem ongea na CEO!

Okey!! I cant promisse u anything now, ila kwenye issue ya acccount naweza fanya jambo ila huku kwenye land issues si unajua yuko kijana wake pale !! So siezi fanya chochote we will blow our cover !!

Sawa hata hilo linatosha !!

Ok!! So meeting ijayo utakuwepo??

Yes i must!! Kuna new member ntamtambulisha!! By the way nimekumbuka, hem mtafute Mnapi, mwambie atulie kwanza anaongea mno!! Redflags kila kona sasa mnafuatiliwa sana, tena kimya kimya!!

Ohooooo, tulisha muita tukazumgumza naye, unamjua yule short tempered sana, ila ametuelewa atakuwa kimya kidogo igawa amesisitiza kwamba, break kwenye kumshona CEO haitopungua kamwe, the guy ni mtukutu sana

Sawa ila mwambie ameatract kufuatiliwa, yaaani agency iko bizy kujua anaongea na nani, anakutana na nani, wapi na saa ngapi na anafanya nini! Hz taarifa nimepewa na mtu wetu kule ndani so anatakiwa awe very carefull!

He knows that!! Tunamsaidia saidia sasa hivi kumpa protection, we hope atastik to ur plan!!

Sawa!!

Na wewe nakujuza , CEO anampango wa kukurudisha kwenye ubranch manager ila hatujajua ni lini!!

Angeniacha nipumzike tu!! .......

We tulia ukafanye kazi na mambo yaendelee kulainika we have only two years kila mtu atataja jina lako tena!!!

Hakuna litakalo lainika wala nini!! Its their game plan na zaidi nikutaka kuchafuliana tu!! Trust me si wish hiyo kitu itokee!! Kama mnaweza mshawishini kabisa aachane nayo!!

Am in no power kupinga hilo, ila likitokea na hautaki tuta deal nalo 100%, by the way asante sana kunikumbuka and happy birthday!!

Ok asante for your wishes na jioni jema!!

*******************************************************
.
 
Back
Top Bottom