Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,425
- 3,315
Kama ndiyo hivyo tunahitaji Maombi ya Mungu kututoa hapa."In short"
"6"
π"Mr guys" kaigizwa kingi...... He is there to end his dream
Ya 2030, and being thanked for his cooperation when he was a finance minister for what he did!
πCEO and Mr born town are now officially "partners" but born town is still the TOP
π"Mr mbiinchi" betrayed his friends and the plan to end born town legacy and removing CEO 2025
πthe betrayed are left speechless, it will take time for them to heal, speak or do anything since wooote wako chini ya uangalizi mkali na wengine wako under house arrest
πAn army inside the army, established in 2017, sasa limekuwa rasmi, Lina parmanet leaders na linaoparate off grid but using the name of official army. Lina nguvu kuliko the official, and their main objective is terminate any one against CEO and BORN TOWN
πMzee na watu wake wamekuwa very smart, Walianza upyaaaa, kete zinasukumwa kimya kimya, there is a surprise coming not soon but have faith
πBorn town son is your next CEO unless they decide differently
Yako mengiiiiiiii mno sijui hata nifupishe vip, SEMA tu
Wateja jiandaeni Kisawa sawa, kwa sasa Wanasema Bado miezi 2 tu Kila kitu kitakuwa sawa mtasahau kabisa.
ππ
Mkuu umeshindwa kushangaa aliyepo kuwa RAHISI unamshangaa RIZIMOKO?Kama ndiyo hivyo tunahitaji Maombi ya Mungu kututoa hapa.
Yani Ridh-one awe Rais ... Ohhh what the f*ckπ‘
Unadhani huyu wa sasa anatofauti gani na Riz? Au kwakuwa mnamuita mama.Kama ndiyo hivyo tunahitaji Maombi ya Mungu kututoa hapa.
Yani Ridh-one awe Rais ... Ohhh what the f*ckπ‘
Wafanikiwe mara gapi?Hawatafanikiwa
Ndiomaana wanaosema Polepole bado yuko hai labda kama waliomchukua sio wenyewe, ila kama ni wenyewe sidhani kama walikaa nae hata siku mbili kwa namna alivyowasanuaMpaka sasa Humphrey Polepole was right in every aspect. Ila hiyo Army inside Army itatugharimu sana kutoka hapo kama ni kweli. The most complicated situation ever!
Hakuna tofauti. Tulipofikia mtu yeyote anaweza kua namba 1.Mkuu umeshindwa kushangaa aliyepo kuwa RAHISI unamshangaa RIZIMOKO?
Wanatofauti gani kwani hawa?
BT aendelee Kuwa hai vinginevyo anything can happen.Mkuu umeshindwa kushangaa aliyepo kuwa RAHISI unamshangaa RIZIMOKO?
Wanatofauti gani kwani hawa?
"In short"
"6"
π"Mr guys" kaigizwa kingi...... He is there to end his dream
Ya 2030, and being thanked for his cooperation when he was a finance minister for what he did!
πCEO and Mr born town are now officially "partners" but born town is still the TOP
π"Mr mbiinchi" betrayed his friends and the plan to end born town legacy and removing CEO 2025
πthe betrayed are left speechless, it will take time for them to heal, speak or do anything since wooote wako chini ya uangalizi mkali na wengine wako under house arrest
πAn army inside the army, established in 2017, sasa limekuwa rasmi, Lina parmanet leaders na linaoparate off grid but using the name of official army. Lina nguvu kuliko the official, and their main objective is terminate any one against CEO and BORN TOWN
πMzee na watu wake wamekuwa very smart, Walianza upyaaaa, kete zinasukumwa kimya kimya, there is a surprise coming not soon but have faith
πBorn town son is your next CEO unless they decide differently
Yako mengiiiiiiii mno sijui hata nifupishe vip, SEMA tu
Wateja jiandaeni Kisawa sawa, kwa sasa Wanasema Bado miezi 2 tu Kila kitu kitakuwa sawa mtasahau kabisa.
ππ
Haiwezi kuwa, 2030 lazima atoke Dini tofauti na ya CEO wa sasa, huyo Prince asubiri hadi 2040."In short"

Ni sawa ila sio 2030, huyu asubiri hadi 2040.Kusema kweli kabla hata Yoga hajaja na bashiri yake ya leo, kila kitu kilikuwa kinaonekana kete zinasukumwa ili mwisho RIZ awe RAHISI na sio vinginevyo.
Kuanzia Marope kuwekwa pembeni, Katelephone kuambiwa asirudi, M-cave kuachishwa, Machungwa kuondolewa kwenye u minister, Guys kupewa uPM, n.k lengo ni kumuondolea dogo vikwazo vya kwenda jumba jeupe.
Wameua watu wengi na pametulia sembuse hiyo ya Riz kuwa?Ni sawa ila sio 2030, huyu asubiri hadi 2040.
Wee hapatakalika mbona. Lol
Nyerere alikuwa mjinga na siku zinavyozidi kwenda CCM ndiyo wanazidi kumvua nguo. Alikipenda chama kuliko nchi. Alikuwa na anafasi ya kubadili katiba kipindi cha Mwinyi akakaa kimya. Samia atamsikilizaje Nyerere wakati Mwinyi na Mkapa hawakumsikiliza na hawakufanywa lolote. Tunazidi kuzunguka na hatupigi hatua. Inabidi kila kijana ajifunze historia kuanzia uhuru mpaka leo. Maana kila tukipata kiongozi tutazidi kurudishwa nyuma.Kama hata chikibob mtoto naye anawaziwa kuwa CEO nchi hii ni miliki ya mtu wala sio watu
Wazee wana laana sio vizuri kudharau wasemacho, Mzee Nyerere alionya kumpa kiti chekibob raiti kama angesikilizwa "huenda" haya yote yasingetukuta
Wazee wanaona mbali tuache kuwa tunawapuuza
Hii army within an army imekaa vizuri sana, ngoja siku moja watifuane kwanza ndo akili zitawakaa sawa waelewe kuwa waliosema madume mawili hayaishi zizi moja hawakuwa wajinga
Haiwezi kuwa abadani, tena wasijaribu kabisaa.Wameua watu wengi na pametulia sembuse hiyo ya Riz kuwa?
Duuh yani mpka yoga akushtue ndio akili yako ichangamke?wabongo kwa ujuaji, eti mbona kila kitu kiko wazi hakuna jipya, mbona sasa hamkusema kabla yake, wengine kwetu mageni, acheni tuendelee kufunguliwa akili..
Unavopiga hiyo mikwara utafikiri unacho Cha kuwafanyaHaiwezi kuwa abadani, tena wasijaribu kabisaa.
πππππ kipooUnavopiga hiyo mikwara utafikiri unacho Cha kuwafanya