Mkuu mara nyingi nimekua nikisema watu wawe watulivu wa kusoma na kuelewa.
Sijasema watu wote milion 2 wataandamana kwa pamoja. Nachosema kama Kuna watu million 2 hawakubaliani na kinachoendelea basi hata mkiua wataondamana dec 9, bado kuna wengine watajitokeza tarehe nyingine, nao mkiua watajitokeza wengine tarehe itayofuata. Hapoo ndio swali langu lilipo mtaua wote hao?