Dark days 17/03/20

Nakusahihisha kidogo. Alisema hivi matatizo mengi ya Afrika ikiwemo "nchi aliyokulia", ujue Kagame alikulia Uganda na ALIWAHI kuwa kiongozi mkubwa sana wa jeshi na inteligensia huko Uganda. Kwahiyo Kagame hazingumzii Rwanda hapo anazungumzia Uganda.

Na alisisitiza popote GenZ wanapoleta shida Kuna tatizo jinsi nchi inavyowatendea watu wake
 
Ndugu zangu, niliyoyaona usiku wa leo yamenipa wasiwasi na hofu, nimeona nisikae kimya niwaambie na nyinyi, huenda kuna baadhi hapa mpo vizuri kwenye mambo ya ulimwengu ule usioonekana.

Ndoto ya kwanza niliona kundi kubwa la watu wakiwa na viongozi wa juu kabisa wakiongea na kundi hilo mara ghafla ikanyesha mvua kubwa na watu wale wakaanza kutawanyika kila mtu kwenda kujificha, cha ajabu mvua ilipokata wale viongozi wakaanza kuwaita watu warudi ili waendelee kuzungumza nikaona idadi ilikuwa ndogo sana tofauti na mwanzo.

Ndoto hiyo ikaisha hapo, NDOTO YA 2 ndiyo ilinifanya niamke usingizini maana nilikuwa naona kama kweli, TAZAMA niliona mvua kubwa sana ikinyesha ikaleta mafuriko makubwa na ardhi ikaanza kumeguka vipande vipande, nyumba zilisombwa na maji, nikawa najaribu kukimbia niweze kujiokoa, watu pia wakawa wanakimbia wengine walimezwa na ARDHI iliyokuwa inameguka.

Sijui ilikuwaje ila nikajikuta nimebahatika sehemu niliyokaa mmomonyoko na yale maji yalikoma ghafla, ilikuwa ni kama mita kadhaa tu hivyo nikawa nachungulia na kuangalia athari zilizotokea. Nikashituka toka usingizini, nimewaza na kutafakari ila sijajua maana yake nini, naombeni msaada wenu kwa mnaoelewa haya mambo.
 
huwa nakuelewa sana jinsi unaongea ukweli japo wengi huwa tunapenda kusikia yale tunayoyataka na si vnginevyo..ili tuishinde hii vita tunaitaji akili na kutumia kila aina ya mbinu itakayo tusaidia..
Hana ukweli wowote ana play mind games..unahitaji akili ya ziada kuuelewa mind games zake!
Inshort yupo upande wao anakuja kuwatuliza na kuwatisha na kusoma upepo!
 
The good part is : it has started and it's working,

The bad part is: it will take time....

The important thing is: be patient as now brains are working not emotions

CAUTION: to whom it may concern, "SHOOT TO KILL IS STILL THEIR PLAN" Watch out!
BETTER LATE THAN NEVER.
 
yoga bila shaka D9 itakuwa inahusiana na ile stay tuned for Dec..pengine yale ya MO29 ilikuwa ni rehersal tu.
 
Samia ni mpumbavu sana kulikuwa na ulazima gani wa kuingia kwenye uchaguzi akiwa peke yake huku mshindani akiwa gerezani kwa kesi za mchongo

Angalia ujinga wake mwingine ni huu Kuna ulazima gan kupoteza pesa kuwalipa akina chawa yoga ili waje wafanye propaganda humu ndan

Yoga ni chawa wa kizimkazi
 
Mkakati ni mmoja tu, hao shoot to kill tunawawinda na mishale. Tukiua watano tumepata bunduki 5 zitatosha kuanzisha VITA RASMI.

Sio kinyonge
Akili za bange hizi , kwa bundukintani tunawezaje kuanzisha vita na kikosi kamili chenye silaha zote mpaka drone pamoja na mafunzo kamili ?

Risasi zikiisha mtafanyaje ?
 
Akili za bange hizi , kwa bundukintani tunawezaje kuanzisha vita na kikosi kamili chenye silaha zote mpaka drone pamoja na mafunzo kamili ?

Risasi zikiisha mtafanyaje ?

Mkuu hapa tunazungumzia Janjaweed wanao winda raia nyumbani kuua na kubaka.

Hao ni wachache tu sio wengi, achana na hao JWTZ.

wale jamaa wakikufata Una option moja tu ufee au uuwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…