Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,364
- 3,105
Kabla jambo halijatokea huwa anatoa updates, na baada ya mda linatokea so inaonekana ni mtu wa system huenda labda akawa anajua something will happen ahead.MKuu unavomuuliza utadhani yeye ni Mungu dah..wewe pambana trhe 9 Dec toka barabarani ndio mwanga huo usitegemee miujiza mengine
Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,Yoga yupo kutisha watu eti hata mfanyeje hamtaweza😃 michezo sana hii kmmk
Ninachokiona hapo mbeleni ni handover kwa deputy ceo wa kampuni tu coz main CEO amechoka sana hasta kwa kumtizama tu!!Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,
Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️🩹❤️🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??
Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!
Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,
watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc
Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea
Any ways tukutane DEC!!!!!
Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,
Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️🩹❤️🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??
Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!
Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,
watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc
Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea
Any ways tukutane DEC!!!!!
Wafikishie habari kwamba tupo tayari kuingia msituni. Hawataipeleka hii kampuni watakavyo. Si wanataka vita, tunaanza na koo zao kabla ya kuwafikia wao.Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,
Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️🩹❤️🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??
Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!
Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,
watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc
Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea
Any ways tukutane DEC!!!!!
Wazee wa Oman, vikao vingi sana na dogo dully.KUna zaidi ya huyo,
#9D.Wazee wa Oman, vikao vingi sana na dogo dully.
But what is coming for them, they will be suprised.
Tukutane december 😅😅
Tunawatakia kila la kheri ila wakulaaniwa ni wazee wa CCM waliokubali kumlealea mzee mstaafu maana Nyerere aliwahi kusema "huyu mtu hafai kupewa nchi" watu wakasema ni hila za mzee wa Butiama tu, sasa wacha wayaone wenyeweKUna zaidi ya huyo,
So, who’s really running the show ,Samia and her crew (Son) or Kikwete and his gang?KUna zaidi ya huyo,
Poor youWazee wa Oman, vikao vingi sana na dogo dully.
But what is coming for them, they will be suprised.
Tukutane december 😅😅
Alivyomalizia maelezo nimestuka..."Aayah"!CEO amechoka
mali ya urithi ki afrika Huwa ina migogoro sana, boss anao mpango wa kumrithisha Kijana wake, CEO nae ano mpango wa kuwafanya wanawe wawe the last decision top maker,Nakuapata vizuri yoga hawatoki kirahisi means kutoka kupo japo sio rahisi …. Je tutegemee surprise yoyote within hii miaka 5 au had kwanzia 2030