Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,234
- 12,807
Yaweke hayo mambo mkuu.Sio kweli mkuu mambo yote aliyo tabiri yametimia kwa 80%
Wakati maafa yanaendelea ....kuanzia makongorosi kwenda huko Chunya shughuli ya uchimbaji ilikuwa inaendelea!!! Sasa kwa kuzima net...sijui mapato yalikuwa yanakusanywaje?MO29 na kinachosubiriwa cha 9D?
Sorry yoga kama hutojali, unaweza kutoa suggestions tunatokaje hapa? If not Kuna mwanga wowote ule unao uona mbele kulinga na hizi details zako unazo toa hapa?First they formed a gov called "oligarch"
Then the State sponsored extrajudicial killings
#TUKUTANE DECEMBER
Hicho kitu nimewaza muda si mrefu. JPM angekuepo asingeuwawa hata mtu mmoja. Watu wangejitokeza kupiga kura kwa wingi.Angekuwepo Hadi Sasa mzalendo wetu Magufuli kusingekuwa na mahovyohovyo kama ya huyu sami.samia kaiingiza nchi kwenye vita vya wenyewe Kwa wenyewe
Hao "The State" walitaka ku-achieve nini kwenye hiyo extrajudicial killings?First they formed a gov called "oligarch"
Then the State sponsored extrajudicial killings
#TUKUTANE DECEMBER
Hapo ungejibu Tu ukweli. Sio MUHIMU kutupa matumaini hewa. Truth shall set us FreeNikujibu ukweli, au kile ambacho ungependa kusikia???
Ebu kuwa straight mkuu...Nikujibu ukweli, au kile ambacho ungependa kusikia???
Hicho kitu nimewaza muda si mrefu. JPM angekuepo asingeuwawa hata mtu mmoja. Watubwangejitokeza kupiga kura kwa wingi.
Ok!!Hapo ungejibu Tu ukweli. Sio MUHIMU kutupa matumaini hewa. Truth shall set us Free
Sorry yoga kama hutojali, unaweza kutoa suggestions tunatokaje hapa? If not Kuna mwanga wowote ule unao uona mbele kulinga na hizi details zako unazo toa
Hii ya kusema nature itaamua ni kama kuona watanzania wote ni wapumbavu kwamva hawawezi kujiamulia wanasubiri maajabu.Ok!!
👉Naomba ujue kuwa kwanza hawajamtangaza kwa bahati mbaya, hii ilikua ni Moja ya steps kwenye plan Yao kuu ya 2030.
👉Pili hIlo genge lake liko serious kuliko mnavyo lichukulia, Kuna mambo mazito limefanya (biashara)kwa interest zao na wanahitaji kuzilinda Tena with a very strong back up!
👉Nature itaamua na Si vinginevyo!!
Hii ya kusema nature itaamua ni kama kuona watanzania wote ni wapumbavu kwamva hawawezi kujiamulia wanasubiri maajabu.
Ume andika kama vile hao watu wachache wana nguvu saana ya kupambana na watanzania woote , ni hivi hakuna cha nature bilq misukule ya PT na JW hii kazi inaisha mapema sanaOk!!
👉Naomba ujue kuwa kwanza hawajamtangaza kwa bahati mbaya, hii ilikua ni Moja ya steps kwenye plan Yao kuu ya 2030.
👉Pili hIlo genge lake liko serious kuliko mnavyo lichukulia, Kuna mambo mazito limefanya (biashara)kwa interest zao na wanahitaji kuzilinda Tena with a very strong back up!
👉Nature itaamua na Si vinginevyo!!
Nami imebidi nimshangae..anawaonaje sijui watanzania huyu.Hii ya kusema nature itaamua ni kama kuona watanzania wote ni wapumbavu kwamva hawawezi kujiamulia wanasubiri maajabu.