hizo imani ondoa mkuu hakuna kitu mungu atafanya dhidi ya utawala wa CCM .
ondoa hicho kitu akilini mwako mungu ahusiki na chochote kuhusu siasa hizi za bongo na matukio yanayoendelea .
ingekuwa ni hivyo basi angekuwa ashatoa hukumu kwa haya yalitokea siku ya maandamano