Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,396
- 1,580
Sawa.Team Magufuli wametupwa nje ya mfumo mazima! Papara, munkari, hisia, chuki, hasira, pupa plus jazba viliwaponza kwenye huu mtanange wa kugombea ugali wa kampuni!
Uliona Bibi na Born Town walivyokumbatiana jana?? Ile speech ya Rais wa Zambia ilinikumbusha mbali sana! What a speech!
Tena...!? So no hope of seeing the 'light' at the of the tunnel! Ngoja waandae 'kijinga kikavu', mwanga utapatikana.....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
How ?....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
weeeeh acha bhana.....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
How....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
Aliye elewa atupe code k maficho.....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
Ila dini nimetokea kuichukia zaidi na kanisani hawata niona tenaHatari sana! Huko TEC sijui nini kinaendelea maana ndio tumaini pekee sauti zote zikifeli.
Kuchukia ni haki yako. Popote duniani Catholic church ndio tumaini pekee pale umma unapokuwa hauna jinsi. Kama nao wakifeli hapo wote tunasubiri mkono wa Mungu mwenyewe.Ila dini nimetokea kuichukia zaidi na kanisani hawata niona tena
Ni kweli ila kwa upande fulani ni wachocheziKuchukia ni haki yako. Popote duniani Catholic church ndio tumaini pekee pale umma unapokuwa hauna jinsi. Kama nao wakifeli hapo wote tunasubiri mkono wa Mungu mwenyewe.
Hii Kauli inachanganya tunaaanza kupikwa na MABEBERU au tunapikwa na Msoga Gang ?....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
game over?....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
How ??....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
Kiufupi sana "Watanzania tutakiona cha moto"....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
Kuna uwezekano mkubwa sana Saa 001 hayupo kwenye mpango, pengine anatumika tu. Inawezekana pia AR & KJ wanatumika tu.Nchi iko chini ya RA, KJ Saa 001 itaendelea kuchuuzwa duniani hadi tukome
Weeeee unasemaje?Kuna uwezekano mkubwa sana Saa 001 hayupo kwenye mpango, pengine anatumika tu. Inawezekana pia AR & KJ wanatumika tu.