Dark days 17/03/20

Yoga nawe unaremba remba si ufunguke kwa maslahi ya wa tanzania.....naanza kuamini we ni wamchongo huna jipya
Ila sisi watanzania baana tuna matatizo makubwa sana. Tunapenda kujua vitu lakini hatuko tayari kuvifanyia kazi wala kuvipush vifanye kazi. Tunapenda sana umbe umbea tuu na hata walioko jikoni wakitutonya yanayoendelea hata hatuchukui hatua yoyote
 
Unasemaga hivi halafu unakimbia ! Unabaki unachunguliachungulia kutupima kama tunakufuatilia ama lah! Wewe tu ukiona ni muhimu kufanya lolote endelea tutakutana nalo. Ukiamua kusubiri hadi 2030 pia ni sawa!
Tukutane kesho saaa tano asubuhi, hili haliwezi pita hivi hi🫡🫡🫡
 
Hahahahaha!! unalinda mbupu zako nini mkuu ?
Ni hatari Mkuu...nimeona ninyooshe maelezo.

Pia nimewahi Ona matukio ya kimataifa kama miezi 2 hadi mmoja kabla matukio hayajatukia mfano operation ya majeshi ya Israel ktk ukanda wa Gaza, kifo cha Rais wa iran(hii niliiandika katika nyuzi hii baadae ilivyotokea kweli niliogopa sana nikaamua kufuta), ajali ya ndege ya Jeju airline kule Korea na ile iliyofuatia, Kifo cha waziri wa usafilishaji wa Urusi.

Na mengine kama haya...

Thread 'Kwa kilichotokea Washington DC, USA, S.Korea na jengo la TRA Moderator mtakua na cha kujifunza' https://www.jamiiforums.com/threads...ra-moderator-mtakua-na-cha-kujifunza.2303005/
 
Kuna hii pia ya watu kuchinjwa a huko Songea.
 
.
 
Ila yoga siku izi msanii au alishatuma na kutoa mana kuna wakati usipokuwa makini unakuta anapandisha uzi unapotea ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…