Dark days 17/03/20

Ya Leo ya Captain Tesha mbona yanatisha,jamani lile sio akili mnemba kweli lishanembesha watu wanasikilizia mtiti kumoyo.?
 
yoga , hii vita ya wanamtandao vs Pro Magufuli ,unahisi inalisaidia taifa??

Coz Pro Magufuli wanapambania ugali wao kwa kujiita Wazalendo! Mtandao nao vilevile wanalinda maslahi yao!

Ukiangalia kwa jicho la tai, haya makundi ni tatizo coz hakuna hata moja lenye nia thabiti la kulisaidia taifa!

Wateja wa kampuni wanacheza ngoma wasiyoifahamu!

Huwa nawaambia tatizo kuu la elimu yetu ni kufanya watu wasifikiri kwa kutumia fikra tunduizi! Tunaendeshwa sana na mhemko, papara,pupa na hisia!
 
Nani alikudanganya kwamba hakutakua na makundi nchini? Cha msingi hao wa mtandao hatuwataki hata kama pro magu nao wanataka maslahi yao bora tuyaondoe haya mashetani ya kina kikwete maana yamezidi ukatili na ubinafsi! Kama hujachagua upande mpaka sasa tulia tuu maana moto ushawaka hakuna kubembelezana!
 
Mambo ya kolito sio, teh teeh teh
 
Natamani ni jibu lakini tuupe mda mdawake, uliowataja hawana shida, shida ni hao "wateja"
 
Hii taarifa ni ilidecodiwa kutoka katika coded dream.
 
Coded message
 
Ooh meeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…