Dark days 17/03/20

Ujumbe huu sijui umfikie nani ila probably Mr chapchap but sure kwamba kama atasafiri hivi karibuni basi asiishie kubadilisha ruti tu bali abadilishe hadi destination, kwasababu washajua kama akisafiri atapita Njia fulani na possible destination itakua somewhere, so wakati wa usiku akipokelewa kama mgeni na kijana mmoja a few moment later watawapokea wageni wengine wenye siraha za moto... Baada ya hapo sijui nini kitaendelea.
 
Muda unazungumza
Nilipoona aliyetembeza kichapo Lugalo Enzi za mkoloni anarudi kwa Kasi na kuboresha miundombinu yake kule kasoro dimbwi nakajua amehakikishiwa barizi la maana! Hakuna Tena changamoto ya awali alipostukiwa Kwa hiyo, Wenye Kampuni waweke Maji kichwani tayari kinyozi afanye kazi yake.
 
Hii kodi ngumu msaada tafadhali
 
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…