Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,245 Reaction score 90,421 Aug 15, 2025 #12,081 Emanueli misalaba said: Yoga ni team Msoga & Kizimkazi combinations, So hawezi kuwa HP, Unafanya makusudi kumpachika haiba ambayo si yake. Click to expand... Niliwahi kusema hili humu kuwa Yoga ni timu msoga
Emanueli misalaba said: Yoga ni team Msoga & Kizimkazi combinations, So hawezi kuwa HP, Unafanya makusudi kumpachika haiba ambayo si yake. Click to expand... Niliwahi kusema hili humu kuwa Yoga ni timu msoga
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,245 Reaction score 90,421 Aug 15, 2025 #12,082 ......
O Ozon JF-Expert Member Joined Dec 19, 2024 Posts 2,366 Reaction score 3,694 Aug 15, 2025 #12,083 Haya, lete hizo hadithi zako tuzisome.. imekuwaje tena!?
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,913 Reaction score 3,899 Aug 15, 2025 #12,084 Tresor Mandala said: Niliwahi kusema hili humu kuwa Yoga ni timu msoga Click to expand... Hakika kabisa, Mahaba yake kwa hizo team anazotumikia yako dhahiri
Tresor Mandala said: Niliwahi kusema hili humu kuwa Yoga ni timu msoga Click to expand... Hakika kabisa, Mahaba yake kwa hizo team anazotumikia yako dhahiri
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,913 Reaction score 3,899 Aug 15, 2025 #12,085 Ozon said: Haya, lete hizo hadithi zako tuzisome.. imekuwaje tena!? Click to expand... Mkuu kunani huko? Je MG wamefanya yao au wamefanyiwa?
Ozon said: Haya, lete hizo hadithi zako tuzisome.. imekuwaje tena!? Click to expand... Mkuu kunani huko? Je MG wamefanya yao au wamefanyiwa?
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,080 Reaction score 10,997 Aug 16, 2025 #12,086 Emanueli misalaba said: Mkuu kunani huko? Je MG wamefanya yao au wamefanyiwa? Click to expand... Mnong'ono imekuwa mingi koridoni.
Emanueli misalaba said: Mkuu kunani huko? Je MG wamefanya yao au wamefanyiwa? Click to expand... Mnong'ono imekuwa mingi koridoni.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,210 Aug 16, 2025 #12,087 Izato said: Mnong'ono imekuwa mingi koridoni. Click to expand... Tunapenda rumors, vifo na umajununi Tanzania inakua Saddist republic
Izato said: Mnong'ono imekuwa mingi koridoni. Click to expand... Tunapenda rumors, vifo na umajununi Tanzania inakua Saddist republic
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,285 Reaction score 27,977 Aug 16, 2025 #12,088 TIMING said: Tunapenda rumors, vifo na umajununi Tanzania inakua Saddist republic Click to expand... Mbaya sana hii. Walioianzisha wanajulikana.
TIMING said: Tunapenda rumors, vifo na umajununi Tanzania inakua Saddist republic Click to expand... Mbaya sana hii. Walioianzisha wanajulikana.
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,913 Reaction score 3,899 Aug 16, 2025 #12,089 Izato said: Mnong'ono imekuwa mingi koridoni. Click to expand... Minong'ono saa nyingine inaweza ni wanatengeza habari ili kutaka kujua wapi panavujisha Au unasemaje mkuu
Izato said: Mnong'ono imekuwa mingi koridoni. Click to expand... Minong'ono saa nyingine inaweza ni wanatengeza habari ili kutaka kujua wapi panavujisha Au unasemaje mkuu
yoga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 2,002 Reaction score 10,374 Aug 16, 2025 Thread starter #12,090 HovB said: Msimskilize huyo popoma yoga kwanza ni dume halafu linatunga ringa story Click to expand... 😂😂😂😂 Kumekuchaa
HovB said: Msimskilize huyo popoma yoga kwanza ni dume halafu linatunga ringa story Click to expand... 😂😂😂😂 Kumekuchaa
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,753 Reaction score 4,800 Aug 16, 2025 #12,091 yoga said: 😂😂😂😂 Kumekuchaa Click to expand... tuambie hizi tetesi zilizopo ni za kweli au tunapotezewa focus?!
yoga said: 😂😂😂😂 Kumekuchaa Click to expand... tuambie hizi tetesi zilizopo ni za kweli au tunapotezewa focus?!
Mbabani JF-Expert Member Joined Jun 20, 2022 Posts 2,369 Reaction score 6,720 Aug 16, 2025 #12,092 Yoga + Kigogo = Msoga
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Aug 16, 2025 #12,093 Chief wa tiss?
G Gypsum Screw JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,396 Reaction score 1,580 Aug 16, 2025 #12,094 It’s inevitable
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,850 Reaction score 37,562 Aug 16, 2025 #12,095 TIMING said: Aliyeua sana keshapumzika Kwa amani Click to expand... Wapo wengine wanaendelea kuua... Na wao soon wanaenda kupumzika
TIMING said: Aliyeua sana keshapumzika Kwa amani Click to expand... Wapo wengine wanaendelea kuua... Na wao soon wanaenda kupumzika
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,210 Aug 16, 2025 #12,096 Tayana-wog said: Wapo wengine wanaendelea kuua Nayo soon wanaenda kupumzika Click to expand... Wauwaji hawafai popote Hata hao mnaowatumia kuua wauwaji
Tayana-wog said: Wapo wengine wanaendelea kuua Nayo soon wanaenda kupumzika Click to expand... Wauwaji hawafai popote Hata hao mnaowatumia kuua wauwaji
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,850 Reaction score 37,562 Aug 16, 2025 #12,097 TIMING said: Wauwaji hawafai popote Hata hao mnaowatumia kuua wauwaji Click to expand... Anaewatumia nani mkuu? 😂 Wauwaji wote wataondoka mmoja baada ya mwingine
TIMING said: Wauwaji hawafai popote Hata hao mnaowatumia kuua wauwaji Click to expand... Anaewatumia nani mkuu? 😂 Wauwaji wote wataondoka mmoja baada ya mwingine
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,210 Aug 16, 2025 #12,098 Tayana-wog said: Anaewatumia nani mkuu? 😂 Wauwaji wote wataondoka mmoja baada ya mwingine Click to expand... Na wataondoana… wanaotuma, wanaotumwa na wanaotumana Wote ni haohao tu
Tayana-wog said: Anaewatumia nani mkuu? 😂 Wauwaji wote wataondoka mmoja baada ya mwingine Click to expand... Na wataondoana… wanaotuma, wanaotumwa na wanaotumana Wote ni haohao tu
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,850 Reaction score 37,562 Aug 17, 2025 #12,099 TIMING said: Na wataondoana… wanaotuma, wanaotumwa na wanaotumana Wote ni haohao tu Click to expand... Acha tutulie tuone mwisho wake
TIMING said: Na wataondoana… wanaotuma, wanaotumwa na wanaotumana Wote ni haohao tu Click to expand... Acha tutulie tuone mwisho wake
ARGAN MARA JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 1,135 Reaction score 2,940 Aug 17, 2025 #12,100 Yuko wapi