Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 990
- 2,281
Waswahili walisema maskini akipata sijui nini hulia mbwata, sasa aliyemtetea kwa kutumia hicho kipande cha kijikaratasi anajisikiaje huko aliko?Mabeyo alifuata katiba, ambayo mama yenu anasema ni kipande cha kikaratasi tu
Video sina ila nimeona instagramDah shukran boss. Hii hii..unayo video
..
Watabiri wamenichanga changanya kama kachumbari sasa nawatizama tu kwa sababu wanaowatabiria wanazidi kuchanja mbuga,kumekua na tabiri nyingi sana ngoja tuone naitunza hii
Watu wa hivi huishi miaka mingi, hapo alipo anaweza kuwa ana miaka 20 mbele, unadhani kidogo hiyo kwa nchi?Wala yupo Mungu aliyemuumba ndo atamalizana nae ,hatuhitaji hao π
Sema kama atakua anauwezo wa ku operate katika hiyo level itakua inamaanisha yeye ndio nchi na mungu wa nchi! Kitu ambacho mimi sikioni kutokea kwa binadamu kuwa na uwezo mkubwa hivo wa kuendesha mipango yake!Watabiri wamenichanga changanya kama kachumbari sasa nawatizama tu kwa sababu wanaowatabiria wanazidi kuchanja mbuga,
Octomber hiyo na November watu wanakula viapo.
Huenda watabiri wanatumiwa na Msoga kulaza watu usingizi
Hawezi,haifiki....just waitWatu wa hivi huishi miaka mingi, hapo alipo anaweza kuwa ana miaka 20 mbele, unadhani kidogo hiyo kwa nchi?
Ndo walivyojipanga mpk 2050Kwa hiyo ndg nchi mbichi amewekwa kimkakati, ikitokea Mkuu akaenda zake, atafaa kuliongoza kalandinga.
Mi kati ya niliowafuatiliakumekua na tabiri nyingi sana ngoja tuone naitunza hii
ni kweli ataachiwa watamtengenezea ajali atakuwa ICU hoi hatokufaHii post ya kwanza kabisa ya Lissu naona wameifuta. πππ
basi hii sio coincidence + novena, huh kwa sasa tuupe muda uzungumze.Mi kati ya niliowafuatilia
Almost 4 wameongea same msj ila Kwa namna tofauti
Ngoja tuone mwisho wake
Hasa Kwa kuanza na tar ya mwezi huu 28...
Hakikabasi hii sio coincidence + novena, huh kwa sasa tuupe muda uzungumze.
Matako ndio maana nasema kuna watu Matako yao inapidi yachapwe ili akili ziweze kuwarudiWaswahili walisema maskini akipata sijui nini hulia mbwata, sasa aliyemtetea kwa kutumia hicho kipande cha kijikaratasi anajisikiaje huko aliko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani akiwa ni yeye kuna shida yoyote? ?Nimerudia kuusoma huu uzi baada ya madai ya POLEPOLE kuhusu ya OLD BOSS , na nimejiridhisha, beyond reasonable doubt kwamba YOGA ni POLEPOLE ππ.
Alichosema POLEPOLE ni exactly kilichoandikwa humu three years ago. It was just a matter of time ili mzee Humphrey aweze kutoka na kuongea hadharani.
YOGA sio mwanamke jamani tumepigwa ππ
Soma hiyo screenshot ndio utaelewa
Hiyo video alivyoongea haya ni ya liniNimerudia kuusoma huu uzi baada ya madai ya POLEPOLE kuhusu ya OLD BOSS , na nimejiridhisha, beyond reasonable doubt kwamba YOGA ni POLEPOLE ππ.
Alichosema POLEPOLE ni exactly kilichoandikwa humu three years ago. It was just a matter of time ili mzee Humphrey aweze kutoka na kuongea hadharani.
YOGA sio mwanamke jamani tumepigwa ππ
Soma hiyo screenshot ndio utaelewa
Moderator chukua hatuaNimerudia kuusoma huu uzi baada ya madai ya POLEPOLE kuhusu ya OLD BOSS , na nimejiridhisha, beyond reasonable doubt kwamba YOGA ni POLEPOLE ππ.
Alichosema POLEPOLE ni exactly kilichoandikwa humu three years ago. It was just a matter of time ili mzee Humphrey aweze kutoka na kuongea hadharani.
YOGA sio mwanamke jamani tumepigwa ππ
Soma hiyo screenshot ndio utaelewa
Aliyeua sana keshapumzika Kwa amaniWizoo usijali
Aliyeua sn wenzie na ye Hana muda mrefu kuondoka
More to come
Yoga ni team Msoga & Kizimkazi combinations,Nimerudia kuusoma huu uzi baada ya madai ya POLEPOLE kuhusu ya OLD BOSS , na nimejiridhisha, beyond reasonable doubt kwamba YOGA ni POLEPOLE ππ.
Alichosema POLEPOLE ni exactly kilichoandikwa humu three years ago. It was just a matter of time ili mzee Humphrey aweze kutoka na kuongea hadharani.
YOGA sio mwanamke jamani tumepigwa ππ
Soma hiyo screenshot ndio utaelewa
acha wivuMsimskilize huyo popoma yoga kwanza ni dume halafu linatunga ringa story