Dark days 17/03/20

differently kiaje ???
 
DK83 ; Hii sajili ya kutoka kwa fidel castro inataka kulipa vile mwamba anakata mbuga ,udambwi dambwi wa kutosha ulioanza kuwakela watoto wa mjini japo bado hauja zaa bao.
 
asa Mimi nawapa taadhari tu, na nasema Tena, this CEO is going to be the next CEO for another 5 years!! But it will be five kama hato enda kinyume na BORN TOWN,

kubwa zaidi ni kuwa everything is planned for her to be the CEO
NIlikuuliza hapo nyuma,nauliza tena je,hayo uyasemayo ni ya kiroho au kimwili? kama ni utaratibu wa kawaida,nyakati zake zimepita,kwa sasa tunaenda na manabii wa Mungu.
Kama Mungu asingewatoa wana wa israel misri,wao kwa nguvu zao wasingeweza.Ila kwa uwezo wa MUNGU na mkono wake wenye nguvu,walitoka. hivyo watanzania tutatoka kwa mkono wa Mungu wenye nguvu
 
Uongo.


Wa moja havai mbili.
 
Ukiziangalia sura nyingi za Top players,ni kama Kila mtu ana lake,na ana jambo na huyu wanakubaliana kiaibuaibu,ila moyoni Kila mmoja ana lake. Na Kila mmoja unaona ana matumaini Kuna sehemu sehemu ana wenzake wanasukuma kete zao kimkakati. Yaani ni michezo ya zunguka nikuzunguke. Sasa kwenye michezo ya mjini kama hii wengi huwa ni mbuzi wa kafala. Mwisho wa siku,mshindi atakuwa ni yule ata kadamnasi haikumtarajia kabisa. Na yeye ushindi wake ni kama kupokeza kijiti, hautakuwa ndio hatima. Ni mvurugano mpaka waishe au wamalizane,maana Kwa picha kiufundi linaonyesha ni kama Kila mtu Kesha amua liwalo na liwe. Na Kuna mambo, ishaonekana kumbe inawezekana ndani ya kampuni. Moja wapo ni kuvunja miiko ya kampuni mama na miiko ya kampuni dada. Haya mambo yataendelea Kwa muda mrefu kadiri Kila mshika kijiti atakaposhika kijiti. Miiko itavunjwa sana mpaka deni la mangi liwe linapumulia gesi hapo sasa ndio,kichochoro cha kuelekea Zimbabwe kitakuwa kipana cha kutosha kupita umma mkubwa. Hapo sasa kwenye safari ya Zimbabwe,top players aged aged watakuwa wanataka heshima Yao na kutoa ushauri kama wazee wa kampuni. Gen x ndio itakuwa kwenye mitikasi ya kurejesha gari njia kuu. Itabakia tu kuwa historia waliokula wamekula na waliolia watakuwa wameliwa. Cha msingi, individuals acheni kujenga kampuni,Kwa Moyo wote mpaka fupa la Moyo linachomoza, Jengeni maisha yenu na familia zenu the globe is too big to move around and enjoy life. Hii michezo ya town,haiishi Leo Wala kesho. In short and brief,never in your lifetime.Enjoy the showdown.
 
Yoga, thx for this part of story.

Lakini bado pattern ni 3, 6, or 9, or combination of part or all the numbers

6 tayari imeshakwenda na kichwa

Who is the next?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…