Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,919
- 3,899
Hisia nahisi wakienda Dodoma, kizee kinafiki, kihuni na mchepuko wake watajaza makomando DodomaNgoma bado ngumu hii, si umesikia kizimkaz vikao vimepamba moto mama lazima anajipanga na comeback π₯Ή
ChakandumuzHisia nahisi wakienda Dodoma, kizee kinafiki, kihuni na mchepuko wake watajaza makomando Dodoma
Unakumbuka 2015?Chakandumuz
Naona kule Kwa da mange ,anatupia tu Information mambo ni motoooπNgoma bado ngumu hii, si umesikia kizimkaz vikao vimepamba moto mama lazima anajipanga na comeback π₯Ή
Ngoma bado ngumu hii, si umesikia kizimkaz vikao vimepamba moto mama lazima anajipanga na comeback π₯Ή
Pale mbowe alipoouza chadema na slaa kuhamisha Siri zote kupeleka ccm nikajua nchi Haina upinzaniUnakumbuka 2015?
sifa moja wapo ya GT nikuona pia mtazamo wa mwingine bila kuutwezaOnce upon a time Nilidhani I humu ni home pf a great thinkers⦠I was roght then hasa between 2006-2015
Baada ya kifo cha chadwma na kusali wa chakandumuz⦠akili zetu huku wote zimefubaa
Tumeishia kuwa shallow, dramatic, wazushi na hisia kali bila depth ya uelewa
Yoga Bado ni relevant na what is happening now ni show ya intelijensia⦠ABD has nothing to do with Kikulacho
Kikulacho ni breathing space Kwa dreamers
Ni kwelisifa moja wapo ya GT nikuona pia mtazamo wa mwingine bila kuutweza
Ayatola wa Tanzania wa mchongo, muhuni muhuni, Fisadi baba wa mafisadi Tz kwa kumwongopa Edo na team yake alihamishia Dodoma makomando ili awe na ujasiri wa kumkata Edo,Pale mbowe alipoouza chadema na slaa kuhamisha Siri zote kupeleka ccm nikajua nchi Haina upinzani
Lema akavuta na kukimbilia Canada, sumaye na Lowassa wakaenda chadema
Baada ya muda chadema ikawa chakademus, mamvi na sumaye wakarudi kambani
Ikabaki chakademus and plier (baba dumbwi na domo)
Sasa imeku chakandumuz - domo kawa man alone
Eti Ayatolah wa Mchongo wa Tz,Kigugumizi on flick.......π€£π€£π€£
Kuhusu hili Mme sema hapa ... ngoja nimkaribishe mzeee ......π€£
Mzee: kwanza wachawi wamesha kufa (unamjua mchawi?) π€£π€£π€£π€£π€£
Mzee tena: kuhusu UCEO Tukiamuaaa hata sasa ......... Naomba ........... Nyie Vijana msije na mabango ...π€£ Tunaogea mambo mazito mtulie kwanza .....π€£
π€£π€£ Ila Huu mwaka huuu wapendwa Kuna Raha sana!!
Akili zako NDOGOPale mbowe alipoouza chadema na slaa kuhamisha Siri zote kupeleka ccm nikajua nchi Haina upinzani
Lema akavuta na kukimbilia Canada, sumaye na Lowassa wakaenda chadema
Baada ya muda chadema ikawa chakademus, mamvi na sumaye wakarudi kambani
Ikabaki chakademus and plier (baba dumbwi na domo)
Sasa imeku chakandumuz - domo kawa man alone
master kila ukifika mwaka wa ballot box huwa analose control + saizi umri umetembea amekua very impulsiveEti Ayatolah wa Mchongo wa Tz,
Chawa wake Wanajidai kumpa jina la Master wa siasa ZT,
Hana lolote, Mwonga, mbinafsi, amejaa islafu.
Kwa kumwongopa Manywele kipindi kile alijaza makondo Dodoma ili akifanya uhuni wake wa kukata jina akina Kigunge Gombare, Imma, Sofia na team yake wasifanye fujo.
Mzee mhuni sana na ni kirusi kwa ustawi wa taifamaster kila ukifika mwaka wa ballot box huwa analose control + saizi umri umetembea amekua very impulsive
Tunaombea nini?Mnacho ombea hakipo Kwa sasa ila baadae kipo
Upo...!!ππππ
Kipi hicho?Mnacho ombea hakipo Kwa sasa ila baadae kipo
Hasemi siku hizi yoga sijui kahamishwa section. Mara aseme tunasubiri meli airport.Kipi hicho?
Sawa tu kwa majira na nyakati kitokee tu kama Bwana aishivyo my yogaMnacho ombea hakipo Kwa sasa ila baadae kipo