Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 Jun 1, 2025 #11,461 Program Manager said: Unataka utuibie simu?ππ Tayana-wog Click to expand... Sina mpango wa simu Tecno yangu yanitosha, yaani uchukue simu unifuate mpk home kwangu kwa G.... nini sijui.
Program Manager said: Unataka utuibie simu?ππ Tayana-wog Click to expand... Sina mpango wa simu Tecno yangu yanitosha, yaani uchukue simu unifuate mpk home kwangu kwa G.... nini sijui.
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,919 Reaction score 3,899 Jun 1, 2025 #11,463 Kwa hivi sasa Wanaotekwa ni wanasiasa na wanaharakati na raia wa kawaida, Serikali na vyombo vyake vya dola wasipolithibiti hili, Mwl Nyerere aliwahi kusema "ukila nyama ya binadamu hutaacha" Wakimalizana na makundi hayo βοΈβοΈ watahamia kuteka wafanyabishara au Member wa familia wa wafanyabishara na kudai kikombozi ili kuachiwa. Kikwete amshauri Samia kukomesha uteakaji nchini mwetu.
Kwa hivi sasa Wanaotekwa ni wanasiasa na wanaharakati na raia wa kawaida, Serikali na vyombo vyake vya dola wasipolithibiti hili, Mwl Nyerere aliwahi kusema "ukila nyama ya binadamu hutaacha" Wakimalizana na makundi hayo βοΈβοΈ watahamia kuteka wafanyabishara au Member wa familia wa wafanyabishara na kudai kikombozi ili kuachiwa. Kikwete amshauri Samia kukomesha uteakaji nchini mwetu.
brAin cRacker JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 941 Reaction score 1,383 Jun 2, 2025 #11,464 sema kuna movement zinafanyika unabaki kusema uceo anautaka kweli ila ghafla unakumbuka kuna desert mission unabaki unaastaajabu ya dunia
sema kuna movement zinafanyika unabaki kusema uceo anautaka kweli ila ghafla unakumbuka kuna desert mission unabaki unaastaajabu ya dunia
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 12,212 Reaction score 17,006 Jun 2, 2025 #11,465 blackstarline said: Huu mzigo kama katuni za Masudi Kipanya full mafumbo, dah kweli shule muhimu. Click to expand... Sio std7!
blackstarline said: Huu mzigo kama katuni za Masudi Kipanya full mafumbo, dah kweli shule muhimu. Click to expand... Sio std7!
Program Manager JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 3,084 Reaction score 4,475 Jun 2, 2025 #11,466 Chura kiziwi ameagiza Kwa msajili kufunga kanisa la askofu mfufua wafu huko hii imekaaje? yoga
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,251 Reaction score 90,444 Jun 2, 2025 #11,467 Labda Mpaka mambo yatakapo haribika sana....
T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 4,906 Reaction score 7,127 Jun 2, 2025 #11,468 Tresor Mandala said: Labda Mpaka mambo yatakapo haribika sana.... Click to expand... Wanaendelea kukusanya taarifa. Baraza la wazee likiitwa naye kuja mbele yake na kuwekewa huo mzigo. Kisha anaambiwa jipime.
Tresor Mandala said: Labda Mpaka mambo yatakapo haribika sana.... Click to expand... Wanaendelea kukusanya taarifa. Baraza la wazee likiitwa naye kuja mbele yake na kuwekewa huo mzigo. Kisha anaambiwa jipime.
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 4,824 Reaction score 10,309 Jun 2, 2025 #11,469 yoga nakuita mara3
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,251 Reaction score 90,444 Jun 2, 2025 #11,470 Twin Tower said: Wanaendelea kukusanya taarifa. Baraza la wazee likiitwa naye kuja mbele yake na kuwekewa huo mzigo. Kisha anaambiwa jipime. Click to expand... Sawa sawa
Twin Tower said: Wanaendelea kukusanya taarifa. Baraza la wazee likiitwa naye kuja mbele yake na kuwekewa huo mzigo. Kisha anaambiwa jipime. Click to expand... Sawa sawa
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,919 Reaction score 3,899 Jun 2, 2025 #11,471 Twende mbele turudi nyuma, Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhusu huyu mtu kukaa kwenye kiti? Waliyempa kuongoza Maskani ameongoza inavyostahili? TUmeenda mbele hatua gapi au tumerudi nyuma zaidi? Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania.
Twende mbele turudi nyuma, Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhusu huyu mtu kukaa kwenye kiti? Waliyempa kuongoza Maskani ameongoza inavyostahili? TUmeenda mbele hatua gapi au tumerudi nyuma zaidi? Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania.
G gwela JF-Expert Member Joined Dec 25, 2014 Posts 477 Reaction score 1,032 Jun 3, 2025 #11,472 Nchi imemshinda mama
SlimFit JF-Expert Member Joined Mar 29, 2016 Posts 2,283 Reaction score 3,545 Jun 3, 2025 #11,473 Si mchezo
P Paul Mackie Senior Member Joined Feb 20, 2025 Posts 102 Reaction score 128 Jun 3, 2025 #11,474 Emanueli misalaba said: Twende mbele turudi nyuma, Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhu huyu mtu kukaa kwenye kiti? Waliyempa kuongoza Maskani ameongozana inavyostahili? Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania. Click to expand... Katiba inasemaje mkuu?au angevunja katiba?
Emanueli misalaba said: Twende mbele turudi nyuma, Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhu huyu mtu kukaa kwenye kiti? Waliyempa kuongoza Maskani ameongozana inavyostahili? Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania. Click to expand... Katiba inasemaje mkuu?au angevunja katiba?
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,919 Reaction score 3,899 Jun 3, 2025 #11,475 Kwa ajili ya maslahi ya taifa
T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 4,906 Reaction score 7,127 Jun 3, 2025 #11,476 Paul Mackie said: Katiba inasemaje mkuu?au angevunja katiba? Click to expand... Analazimishwa kukikataa kiti. Maisha mengine yanaendelea.
Paul Mackie said: Katiba inasemaje mkuu?au angevunja katiba? Click to expand... Analazimishwa kukikataa kiti. Maisha mengine yanaendelea.
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 4,824 Reaction score 10,309 Jun 3, 2025 #11,477 Emanueli misalaba said: Twende mbele turudi nyuma, Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhu huyu mtu kukaa kwenye kiti? Waliyempa kuongoza Maskani ameongozana inavyostahili? Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania. Click to expand... Hana sababu ya kuomba Msamaha, Alie tukosea ni JPM aliemchagua kama mgombea mwenza panoja na CCM yake. Otherwise, Mobeyo alisimamia katiba, kwasababu hata waliotaka kumpoka madaraka bibie walikua na maslai yao binafsi.
Emanueli misalaba said: Twende mbele turudi nyuma, Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhu huyu mtu kukaa kwenye kiti? Waliyempa kuongoza Maskani ameongozana inavyostahili? Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania. Click to expand... Hana sababu ya kuomba Msamaha, Alie tukosea ni JPM aliemchagua kama mgombea mwenza panoja na CCM yake. Otherwise, Mobeyo alisimamia katiba, kwasababu hata waliotaka kumpoka madaraka bibie walikua na maslai yao binafsi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,292 Jun 3, 2025 #11,478 Mungu fundi bana..waliochekelea ule msiba wakidhani wasiojulikana waliokuwa pamoja nae,leo wanalia baada ya kugundua wasiojulikana wapo ni genge lenye muendelezo wa kukalia high table
Mungu fundi bana..waliochekelea ule msiba wakidhani wasiojulikana waliokuwa pamoja nae,leo wanalia baada ya kugundua wasiojulikana wapo ni genge lenye muendelezo wa kukalia high table
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,919 Reaction score 3,899 Jun 3, 2025 #11,479 The mission 2017 said: Hana sababu ya kuomba Msamaha, Alie tukosea ni JPM aliemchagua kama mgombea mwenza panoja na CCM yake. Otherwise, Mobeyo alisimamia katiba, kwasababu hata waliotaka kumpoka madaraka bibie walikua na maslai yao binafsi. Click to expand... Mgombea urais huchangua makamu wake kweli au wazee ndiyo huchangua yenyewe?
The mission 2017 said: Hana sababu ya kuomba Msamaha, Alie tukosea ni JPM aliemchagua kama mgombea mwenza panoja na CCM yake. Otherwise, Mobeyo alisimamia katiba, kwasababu hata waliotaka kumpoka madaraka bibie walikua na maslai yao binafsi. Click to expand... Mgombea urais huchangua makamu wake kweli au wazee ndiyo huchangua yenyewe?
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 2,919 Reaction score 3,899 Jun 3, 2025 #11,480 The mission 2017 said: Otherwise, Mobeyo alisimamia katiba, Click to expand... Je aliyemtetea na kumpa kiti ili kufuata katiba, Je anaifuata katiba ambayo kwayo ameapa kuilinda na kuitetea? Vipi ile kauli ya "katiba ni kijitabu"
The mission 2017 said: Otherwise, Mobeyo alisimamia katiba, Click to expand... Je aliyemtetea na kumpa kiti ili kufuata katiba, Je anaifuata katiba ambayo kwayo ameapa kuilinda na kuitetea? Vipi ile kauli ya "katiba ni kijitabu"