Hivi anayetaka reform ili wapatikane viongozi wanaojali na kulinda rasilimali za nchi ndani ya CCM ni wajinga? CCM mwerevu ni yule anayetetea wizi wa rasilimali sio?Hamna CCM mjinga kama ww kaa utulie
Niambie ni vijiwe gani hapa jijini naweza pata story kama hizi we kimb@?Story za vijiweni mnachukulia ndiyo hali ya nchi wapuuzi nie
Mimi sio chawa ni mtu huru kifikraHamna CCM mjinga kama ww kaa utulie
Wapo kibao huko utube pamoja na watt wa shehe Yahya waliorithi hayo mamboKuna mwingine zaidi ya Sheikh Yahya? Km walivyo hao kila nabii /mchungaji ana tabiri ?
Ok,siwafuatiliagiWapo kibao huko utube pamoja na watt wa shehe Yahya waliorithi hayo mambo
I knw kwanza sio rahisi ,wa nn kwanza😅Ok,siwafuatiliagi
Sawa sawa mtumishiI knw kwanza sio rahisi ,wa nn kwanza😅
Neno la Mungu linatosha
Amosi 3:7, Yeremia 33:3, Ayubu 33:14-27 sie zinatutosha kabisa kupata taarifa maana Mungu alituahidi ndo maana kuona manabii huku kwetu wengi ni sahihi tu
Hii press ya Gwajima nani yupo nyuma yake?Kama uko online Niulize chochote leo!!
Hili la Gwajima limekaaje Yoga?Kama uko online Niulize chochote leo!!
Na kwann aseme sasa kuelekea mkutano Mkuu ?Hii press ya Gwajima nani yupo nyuma yake?
Kwenye kikao cha kamati kuu ya CCM ya tar 30 wanaweza kumtengua SSH asigombee?