Sijui kwa nini mama anapenda kukutana na watu wa Comedy kuzidi wazalishaji na wanaotengeza ajira Mfano mdogo wakandarasi private sekta wafanyabiashara wakubwa kukaa nao kujadili mstakabali wa nchi unakaa na wasanii watu Comedy kweli nchi haiwezi kuendelea kwa kukaa na ComedyCcm imelea wajinga that's yule dogo wanamdisi wenyewe ,yule wa comedy, hajui mipaka, shida unamkaribisha ikulu huyo Steve, unategemea nini? Machawa Mungu ayachukue mapema taifa lipone
Siku zote binadamu hupenda kukaa na mtu anayelingana au wako karibu kiakili ili waweze kuelewanaSijui kwa nini mama anapenda kukutana na watu wa Comedy kuzidi wazalishaji na wanaotengeza ajira Mfano mdogo wakandarasi private sekta wafanyabiashara wakubwa kukaa nao kujadili mstakabali wa nchi unakaa na wasanii watu Comedy kweli nchi haiwezi kuendelea kwa kukaa na Comedy
Inawezekana mahali ambapo uchaguzi ni kiini macho na kura ya mwananchi haina nguvu ya kuamua chochote dhidi ya mwanasiasa.MI NAAMINI HAKUNA NAMBA MOJA ANAETEKA WANANCHI KARIBU NA WAKATI WA UCHAGUZI IKIWA ANATAKA KURA TOKA KWA WANANCHI HAO HAO!!
.......embu sema lolote mkuu!
hii episode ya leo kali kweliNaangalia mambo yanavyoendq km movie
Kikwete akitaka mzigo hapo, anapiga hadi asubuhi.
Mkuu kuna ukweli kwamba COVID ipo au ni ni taarifa ya kuzuia mikusanyiko ya kisiasa kipindi hiki na kesi ya Lissu isiwe na watu wengi?Matangazo ya covid yameanza. Kuwa mdudu yupo na anafanya yake. Hii mikusanyiko iaweza anza kutembea na watu walioko kwenye orodha.
Wameimix sana wameekti movie ya kutisha alafu inawaogopesha wenyewe.hii episode ya leo kali kweli
Cha ajabu hiyo COVID inaendagaaa weee halafu kuna muda inakata!Matangazo ya covid yameanza. Kuwa mdudu yupo na anafanya yake. Hii mikusanyiko iaweza anza kutembea na watu walioko kwenye orodha.
Acha uongo. Kwani Mzee Yahya alikuwa Mkristo?Swali la kizushi ? Kwann Waislamu ktk misikiti yao husikii neno UTABIRI wala MAONO /UFUNUO km wachungaji wa kilokole ? Maana TABIRI ZOTE ni zinahusisha Wakristo na Biblia...sijaona mtu akisema mstari fulani km Quran umesema hivi km utabiri au sheikh kaoneshwa ya mbele ?
Kuna mwingine zaidi ya Sheikh Yahya? Km walivyo hao kila nabii /mchungaji ana tabiri ?Acha uongo. Kwani Mzee Yahya alikuwa Mkristo?
Hamna CCM mjinga kama ww kaa utulieMimi mwenyewe naipenda CCM lakini ni mda sasa tufanya reform tupate viongozi wenye akili wenye machungu na rasilimali za nchi hii