TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,284
- 27,972
Well, I !!!. That is why, down town of 'Goodmorning avocado', they want to share the assets. There's a hearsay that even HQ citadel in Michel Chain is non operational!!!👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized
Sasa yoga!Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention
I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke
And remember these words na angalia what is coming
👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"
👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them
👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized
Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Huyu ndo aliyetekwa na kuokotwa hoi 🙌jana aisee
Ndio alipatikana janaNamuombea uzima,sijui mpaka sasa ndugu yangu Steven jacob kama anapumua!
Mwenyezimungu amsaidie huko alipo!!
Aiseh,nilimshukuru Mungu sana!!Nilihisi mwanafamilia ameondoka!!Ndio alipatikana jana
Wakuu huyu pk nifungulieni codeKasome post #8676
Mimi nahisi, huenda na yeye mwenyewe anahusika kuichafua Kijani fc makusudi,Sema mbona kama anatengenezewa ajali ya kisiasa huku(matukio ya hivi karibuni) na yeye anaingia kinyume nyume, badae itakua rahisi kumuweka pembeni. RESILIENT KATO Emanueli misalaba
Story nyingi za Yoga ni sound tuyoga,
1. nani aliyemkalisha kwenye kiti Kijanasema sana?
2. Ni nani aliyempa msukumo na nguvu NRNE?
3.Lipi lengo/Malengo ya kumpa hayo mambo?
4. Je aliyempa jukumu hilo ana shindwa nini kumtetea na kumlinda pamoja na wenzake?
Je kwenye dunia ya sasa ni kosa kudai Mkataba kwa ajili ya kuiendesha kampuni, kudai kundi huru la kuendesha game na kadhi wa mchenzo hadi mwenye kudai astahili hukumu ya Malaika wa Middle East atoe...?
5. Hivi hawa jicho la kampuni (kk) wana faida gani kwa kampuni, je kwa jicho la 6 wanashindwa kuona kuwa huyu Shababimsema sana anafaa tumlinde na kumtumia ili kufanikisha kupata mkataba kwa ajili ya kampuni yetu na watoto wetu hata hadi tena 2075?
6. Kk inahitaji kuvunjwa vunjwa na kuundwa nyingine.
HakikaAiseh,nilimshukuru Mungu sana!!Nilihisi mwanafamilia ameondoka!!
"IPO nguvu ya maombi huku ukitaja sadaka ulizotoa mbele ya MwenyeziMungu"
Kweli!
Cha kushangaza waliokuwa wanaipigia kelele chatoo ambayo ni sehemu ya Tanganyika wapo kimyaaaaZanzibar inaitawala Tanganyika sasa havi kila kitu ni zanzibar vikao vya taasisi, mechi za mpira kodi ya Watanganyika inatumika zanzibar taasisi nyingi uzanzibar umetawala
Kuna baadhi ya mambo yanatokea nadhani mengine hayana baraka zake kabisa!niliwahi soma Mahalia kuhusu marehem Mzee kibao kwamba maelekezo yalikua wamhoji TU wasi messup na uhai wake !lakini wahuni wakaharibu nadhani hata yeye Kuna baadhi anaumia kuona yanafanyika kinyume!!Sema mbona kama anatengenezewa ajali ya kisiasa huku(matukio ya hivi karibuni) na yeye anaingia kinyume nyume, badae itakua rahisi kumuweka pembeni. RESILIENT KATO Emanueli misalaba
kweli mzee ila kile kiti kweli kina mengi aiseeKuna baadhi ya mambo yanatokea nadhani mengine hayana baraka zake kabisa!niliwahi soma Mahalia kuhusu marehem Mzee kibao kwamba maelekezo yalikua wamhoji TU wasi messup na uhai wake !lakini wahuni wakaharibu nadhani hata yeye Kuna baadhi anaumia kuona yanafanyika kinyume!!
Hasta hayati jpm alihoji kuhusu utekwaji wa Mo dewji,inaonekana usipofuata maelekezo ya wale jamaa lazima utatengenezewa makosa Ili wapate uhalali wa mission Yao wanayoitaka!!
MI NAAMINI HAKUNA NAMBA MOJA ANAETEKA WANANCHI KARIBU NA WAKATI WA UCHAGUZI IKIWA ANATAKA KURA TOKA KWA WANANCHI HAO HAO!!
NAWAZA NA KUWAZUA!
Le presida de RwandaWakuu huyu pk nifungulieni code
Mama mtia niaCode ya mkojani imekua ngumu
Tupiga huo uzi hapa kaka tupate madini ayoType kwenye searching ya jf "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku"Uzi ukifunguka nenda page (kurasa kuanzia 48,49,50) utaona comment ya huo uzi wenyewe!!
Comment namba 982 kwenye huo uzi nine quote utasoma hapo!
Kajaribu!!
Mimi mwenyewe naipenda CCM lakini ni mda sasa tufanya reform tupate viongozi wenye akili wenye machungu na rasilimali za nchi hiiChawa wanamjaza mwenyekiti Hali ya kujiamini Ili apambane na andiko ambalo tayari lilishaandikwa!!
Hebu cheki no reform no election ilivyotushika pabaya!!yaani tumepanic sana!!huyo lisu tkimweka gerezani EU wanaitisha Bunge la kumjadili LISU na kumpa umaarufu mkubwa kuliko hata mwenyekiti!!Tukimuacha aendelee ndio hivyo atasababisha Chama kishindwe uchaguzi na kitumie mabavu na tukitumia mabavu kijasusi serikali inakua haram kama Ile ya chuma 2020 ambayo ilibidi turuke sarakasi Kwa COVID 19!!
Bahati mbaya sijui waliokaribu na mama wanamshauri Nini hasa wanapokaa pamoja!!
Nakumbuka Mimi nilimshauri kuliko kukaidi uandishi wa katiba Bora angeitisha Binge la katiba na mchakato uchukue muda mrefu Hadi uchaguzi na ukishafika achukue baadhi ya kanuni azitumie kuchaguliwa Tena huku akiahidi kumalizia term lijalo angalau angewachenga kidogo the state lakini alikiuka kukiuka kwake kumemfanya aingie kwenye mtego ambao hawezi chomoa!!!
MTEGO NDIO HUU"TUKIKUBALI REFORMS MAANA YAKE TUKUBALI KUPOTEZA SERIKALI IENDE UPINZANI,TUKIKATAA UCHAGUZI UNAKUA BATILI KIJASUSI NA THE STATE ITAPATA LEGITIMACY YA KUTUSHUGHULIKIA RASMI"
Nanukuu"uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri Hadi katiba mpya"yaani uchaguzi wa 2024 ambao tayari umeshafanyika kinyume na matakwa ya "the state"!!
Refer maagizo Yao kwenye Uzi wa"operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"!!
WA KWENDA DEEP WANANIELEWA NAMAANISHA NINI NIKISEMA "KUSHUGHULIKIWA RASMI"COZ WALISHATUONYA KWAMBA HAKUNA UCHAGUZI BILA KATIBA MPYA KUTOKANA NA YALIYOTOKEA 2019,2020!NA JUZI YA 2024 NI YALE YALE YA NYUMA!!
SASA TUNAFANYAJE!!?TUKAZE FUVU TUSHULIKIWE,TUKUBALI REFORMS TUPOTEZE SERIKALI IENDE UPINZANI!!!?
Naandika haya huku naumia sana coz nahisi mambo tusiyoyapenda yatatokea Tena,mambo ambayo yatatuhuzunisha sisi wanaccm wenye akili za kina warioba na Butiku!!
Hivi tukifuata maelekezo tutapungukiwa nini!!?
NAWAZA,NACHAMBUA ,NAFUATILIA MAANDIKO HUMU,NABASHIRI,NACHANGANUA KUTOKANA NA NIONAVYO!KAMA SIO SAWA NIPO TAYARI KUKOSOLEWA!!
MITANO TENA KWA MAMA,NAIMBA KAMA TULIVYOAMRIWA NA CHAMA TUIMBE HUKU TUKIACHA SPACE YA ASILI IAMUE HATMA!!