Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,716
Noma sn na inasikitisha.Mkuu acha kuendelea kumjibu huyo. Inawezekana anaelewa na anajua kinachoendelea ila anafanya distraction ili watawala waendelee kulala usingizi wa pono wasijue kinachoendelea au ni kweli akawa ni chawa ambaye mambo magumu kama haya hawezi kabisa kuyachambua.
Ninachozidi kujifunza ni kwamba tuna viongozi wachache sana wenye uelewa mkubwa wa mambo ya nchi yanavyoenda kwasababu kwa akili ya kawaida tu kabisa kama uko vizuri kichwani ukifuatilia series za Tumia akili unajua kila kitu kinachoendelea na matakwa ya taifa ni yapi kwa sasa lakini naona viongozi wetu ni kama wametiwa ganzi wasijue chochote kilichowekwa wazi hata kama kuna codes ngumu. Iliposemwa makamu wa rais alijiuzuru kwa usaliti na makamu mwingine akachaguliwa siyo lazima kweli awe amesaliti pengine yeye amesoma alama za nyakati na kuyaona yanayokuja. Sote tunaona Mpangomzima alivyoacha na Mchimbachumvi kuanza kupiga jaramba tunasubiri tu skendo ya watergate iondoke na mkulu mwenyewe.
Kuna wakati nawaona usalama wa taifa hawalisaidii taifa ila napokutana na nyuzi za kina Tumia akili nawaona walivyo na mpango wa kulifanya hili taifa kuwa la wananchi hapo baadaye kidogo.
Credits nyingi sana kwa mkuu Yoga maana hapa pamekuwa ndiyo majumuisho ya mambo yote mazito yanayoendelea. Nawaomba wenye nchi muendelee na hii mipango wengine tunaumia sana mali za Tanganyika zinapobebwa utadhani hazina wenyewe, sisi sote tupo tu kwenye hili mia la 2000 mpaka 2100 baada ya hapo hatutakuwepo ya nini kufuja mali za watanzania wajao baada ya sisi kuwa tumeondoka.
The state endeleeni na mipango yenu ya kuliwekea taifa misingi imara kwasasa Tanzania unapokuwa upande tofauti na lile lichama unakuwa kama mhamiaji haramu na unaweza ukauawa kama kuku kisa tu umewakosoa watu wa chama kile.
Ahsante.
Achana na chawa huyo anajua kabisa ugali wake upo hatarini!Alie kuuliza kwamba unajua mambo mengi ya nchi hii ni nani? Acha jikweza wanaojua hawezi kuja hapa tamka , huu uzi upo na comment ngapi? Like ngapi? Reply ngapi ,na je umeanza leo ?, Acha ujuaji usiokua na sabababu , wenda unajua robo ya robo tu au nayo isifike, uzi huu sio wa machawa , ni wa watu makini tena walioenda shule ,acha potezea watu mda wao ,achia watu na uzi wao wenye akili .
Mwendazake kafa ,hata robo ya taifa hili kulijua ilikua bado pamoja na kuwa alikwa waziri miaka mingi sembuse wewe ,acheni upuuzi wewe chawa, hujui Dunia,
Deep state ipo kazini.
Deep state ipo kazini.
huyu mtumishi wa Zimbabwe huko ht hajui mambo ya deep state😁
Unajua mambo mazito yapi ndugu?,mabadiliko hayakwepeki kwa nyakati hizi mmeshindwa kuleta maendeleo kwa raia pamoja na rasilimali za kutosha.Jomba hatujuani ila nikuhakikishie tu kuwa ninajua mambo mazito kuhusu nchi yetu kuliko unavyodhani. Huu uzi umejaa stori nyingi sana za vijiweni.
Video ya 3 yrs ago ..huyu ni Mzimbambwe ?
NdioVideo ya 3 yrs ago ..huyu ni Mzimbambwe ?
Dominika NjemaNdio
Prophet Ian
Ht last yr nafikri ipo nyingine alisisitiza Tena.
Bahati mbaya yameshatokea wamekaza fuvu
Muda utaongeaMnapenda story za vijiwe vya kahawa
Tell us something yoga.Its time!!! Ready for a bumpy road!!
Ukiangalia mambo yanavyoenda hii nnre itatoboa kweli..??Its time!!! Ready for a bumpy road!!
Everything thing is fine, achana na mengine mengine mengii,Ukiangalia mambo yanavyoenda hii nnre itatoboa kweli..??
Mungu amlinde na kumtunza huko alikokijana msema sana
Power, power, power, power,. Power is money or money is power?This so called company, does it even recognise the presence and rights of the customers? Or , so long as their wishes are fulfilled, the rest is by the way.Everything thing is fine, achana na mengine mengine mengii,
As I speak there is a suggestion for a sit down!! It's sad that kijana msema sana doesn't want any sit down!!😂
Step two: destruction, soon those kijana msema sana political rallies they enjoy doing, will be no more since the chair, vice chair, and few others will be locked!! Til the game of chance is over!
kweli ukijua hili wenzio wanajua lile 🤣🤣🤣Everything thing is fine, achana na mengine mengine mengii,
As I speak there is a suggestion for a sit down!! It's sad that kijana msema sana doesn't want any sit down!!😂
Step two: destruction, soon those kijana msema sana political rallies they enjoy doing, will be no more since the chair, vice chair, and few others will be locked!! Til the game of chance is over!