4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,317
- 12,991
Acha ujinga we chawa , hujui DUNIA, sana sana upo huko kakonko huko mwisho wa reli then wajitia ujua , nchi haiwezi kwenda kwa mapenzi ya uchawa, nchi ipo na mifumo yake ,miiko yake kama sio utaratibuMnalazimisha ndoto zenu za mchana ila hazitafanikiwa. Hakuna haja ya kuumiza kichwa wakati inajulikana Mama Samia ndo Rais hadi 2030.
Jomba hatujuani ila nikuhakikishie tu kuwa ninajua mambo mazito kuhusu nchi yetu kuliko unavyodhani. Huu uzi umejaa stori nyingi sana za vijiweni.Acha ujinga we chawa , hujui DUNIA, sana sana upo huko kakonko huko mwisho wa reli then wajitia ujua , nchi haiwezi kwenda kwa mapenzi ya uchawa, nchi ipo na mifumo yake ,miiko yake kama sio utaratibu
Alie kuuliza kwamba unajua mambo mengi ya nchi hii ni nani? Acha jikweza wanaojua hawezi kuja hapa tamka , huu uzi upo na comment ngapi? Like ngapi? Reply ngapi ,na je umeanza leo ?, Acha ujuaji usiokua na sabababu , wenda unajua robo ya robo tu au nayo isifike, uzi huu sio wa machawa , ni wa watu makini tena walioenda shule ,acha potezea watu mda wao ,achia watu na uzi wao wenye akili .Jomba hatujuani ila nikuhakikishie tu kuwa ninajua mambo mazito kuhusu nchi yetu kuliko unavyodhani. Huu uzi umejaa stori nyingi sana za vijiweni.
labda ya samia kusifu huna hata pointJomba hatujuani ila nikuhakikishie tu kuwa ninajua mambo mazito kuhusu nchi yetu kuliko unavyodhani. Huu uzi umejaa stori nyingi sana za vijiweni.
Wewe kenge ni miongoni mwa wapenda stori za vijiweni. Umeshakuwa addicted siwezi kukutoa kwenye huo uraibu.Alie kuuliza kwamba unajua mambo mengi ya nchi hii ni nani? Acha jikweza wanaojua hawezi kuja hapa tamka , huu uzi upo na comment ngapi? Like ngapi? Reply ngapi ,na je umeanza leo ?, Acha ujuaji usiokua na sabababu , wenda unajua robo ya robo tu au nayo isifike, uzi huu sio wa machawa , ni wa watu makini tena walioenda shule ,acha potezea watu mda wao ,achia watu na uzi wao wenye akili .
Mwendazake kafa ,hata robo ya taifa hili kulijua ilikua bado pamoja na kuwa alikwa waziri miaka mingi sembuse wewe ,acheni upuuzi wewe chawa, hujui Dunia,
Usiaribu uzi wa watu, fine mie kenge naomba turudi huko jukwaa la siasa jf , huko sio saizi yako we Bwana kunguni, acha haribu uzi wa watu, tukutane huko jukwaa la siasa .Wewe kenge ni miongoni mwa wapenda stori za vijiweni. Umeshakuwa addicted siwezi kukutoa kwenye huo uraibu.
Hakuna uzi wa mtu hapa. Ukishaandika uzi unakuwa ni mali ya JF na yeyote anaweza kuchangia. Acha udikteta uchwara au fungua JF yako uweke hizo sheria za kipuuzi.Usiaribu uzi wa watu, fine mie kenge naomba turudi huko jukwaa la siasa jf , huko sio saizi yako we Bwana kunguni, acha haribu uzi wa watu, tukutane huko jukwaa la siasa .
Funga kamdomo hapa sio mahali pako wewe na chawa wenzio
Chawa sitojibizana nawe hapa ,tukutane jukwaa la siasa, na sikujibu tena ,last messageHakuna uzi wa mtu hapa. Ukishaandika uzi unakuwa ni mali ya JF na yeyote anaweza kuchangia. Acha udikteta uchwara au fungua JF yako uweke hizo sheria za kipuuzi.
Sawa kiongozi shukurani, itabidi pia nisome habari za Mfalme AhabuKwa kifupi ahabu hatakiwi kuendelea na muhula ,sio wa kwake!
SS kwenye kulazimisha kuendelea ndo balaa lilipoanzia.
Kuna uzinwa mayala ngoja niitafute nikuite u some utaelewa
Ila upo hapa kusoma kisha uandike mamasamia mitano tena! Toa ujinga wako wa janja ya nyani kusema ndizi ni tamu kuliko asali! #NoReformsNoElectionsSiwezi poteza muda kuandika porojo za vijiweni kama unavyofanya.
Ni kweli porojo hasta mi najua hizi ni porojo!Siwezi poteza muda kuandika porojo za vijiweni kama unavyofanya.
Jomba hatujuani ila nikuhakikishie tu kuwa ninajua mambo mazito kuhusu nchi yetu kuliko unavyodhani. Huu uzi umejaa stori nyingi sana za vijiweni.
Wewe utakua na shida kichwani.Hakuna uzi wa mtu hapa. Ukishaandika uzi unakuwa ni mali ya JF na yeyote anaweza kuchangia. Acha udikteta uchwara au fungua JF yako uweke hizo sheria za kipuuzi.
Nilitumia Hilo jina la kusadikia sbb hatutakiwi kutumia majina ya watu😁Sawa kiongozi shukurani, itabidi pia nisome habari za Mfalme Ahabu
Kama nimeanza kukuelewa hiviMkuu,Tulipewa muda Hadi 2022 mchankato wa katiba mpya uwe umeanza,akaambiwa ateue wabunge was kimkakati Ili kukamilisha mpangokazi,Sasa basi tukapuuza Hadi mwezi was Saba 2023 wale jamaa wakachoka kusubiri wakaja na uzi mwingine"usaliti wa jemedari wa marekani"wakasisitiza plan ya mwanzo inarudi na ndio hio desert mission yaani mission nchi kavu ya huku Tanganyika inayoendelea nadhani ilianza na uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema halfu No reform no election ambayo imetuharibia zaidi hadi nje ya nchi !!
Sasa kama tukikubali reforms inamaana tukubali kuachia kiti coz report ya wale jamaa inaonyesha Bado watu hawana Imani na mwenyekiti!!na tukikataa ndio hayo yaendelee!!
Nawaza,nafikiria,nachambua maandishi labda ni hivyo Sina uhakika wa mambo hayo!!
Ahaaa ahaaa aya abhana, mwisho wa Ahabu na Yezebeli ulikuwa si wa utukufuNilitumia Hilo jina la kusadikia sbb hatutakiwi kutumia majina ya watu😁
Mkuu acha kuendelea kumjibu huyo. Inawezekana anaelewa na anajua kinachoendelea ila anafanya distraction ili watawala waendelee kulala usingizi wa pono wasijue kinachoendelea au ni kweli akawa ni chawa ambaye mambo magumu kama haya hawezi kabisa kuyachambua.Chawa sitojibizana nawe hapa ,tukutane jukwaa la siasa, na sikujibu tena ,last message
Babeli ameangukaAhaaa ahaaa aya abhana, mwisho wa Ahabu na Yezebeli ulikuwa si wa utukufu