Daresalaam yalipuka leo

Daresalaam yalipuka leo

Christmas or Christmas Day is a holiday observed mostly on December 25 to commemorate the birth of Jesus. The earliest evidence of celebration of Jesus' birth comes from Clement of Alexandria, who describes Egyptian Christians as celebrating it on May 20, although other early sources have Christians celebrating the event in march, April, or January. According to Epiphaneus, Christians in the East had largely settled on January 6 by the fourth century. The wide-spread affiliation of Christmas with the Roman festival of Sol Invictus is disputable: there is no evidence that the feast of Sol Invictus was affixed by Aurelian to December 25. The celebration of Sol Invictus feast on December 25 is not mentioned until the calendar of 354 and, subsequently, in 362 by Julian the Apostate in his Oration to King Helios.[50] However, there is no month of the year to which respectable authorities have not assigned Jesus' birth
 
here is no contemporary historical evidence demonstrating the date of Jesus' birth. The common Gregorian calendar method for numbering years, in which the current year is 2010, is based on an early medieval attempt to count the years from a point of reference - namely, Jesus' birth - which Dionysius Exiguus placed, either mistakenly or intentionally, sometime between 2 BC/BCE and 1 AD/CE.http://en.wikipedia.org/wiki/Jesus#cite_note-43 The Gospel of Matthew states Jesus' birth occurred during the reign of Herod the Great, who died in 4 BC/BCE, but also with the intimation that Jesus may have been as much as two years old when Herod ordered the Massacre of the Innocents, and therefore that he may have been even older at the time of Herod's death. The Gospel of Luke similarly points to Jesus' birth as having occurred during the reign of Herod the Great (i.e., sometime between 37 and 4 BC/BCE), but the author of Luke also describes the birth as taking place during the first census of the Roman provinces of Syria and Iudaea, which is generally believed to have occurred in 6 AD/CE.http://en.wikipedia.org/wiki/Jesus#cite_note-45 Most scholars generally assume a date of birth between 6 and 4 BC/BCE.http://en.wikipedia.org/wiki/Jesus#cite_note-46 Other scholars assume that Jesus was born sometime between 7-2 BC/BCE and died sometime between 26-36 AD/CE.

Happy Christmas to you all!
 
Today, whether or not the birth date of Jesus is on December 25 is not considered to be an important issue in mainstream Christian denominations;http://en.wikipedia.org/wiki/Christmas#cite_note-Joan_Chittister.2C_Phyllis_Tickle-22http://en.wikipedia.org/wiki/Christmas#cite_note-Voice-Christmas-23http://en.wikipedia.org/wiki/Christmas#cite_note-Harvard_University-24 rather, celebrating the coming of God into the world in the form of man to atone for the sins of humanity is considered to be the primary meaning of Christmas
 
kuna profesor aliandika kua yesu alizaliwa tare 26 ocotober miaka 2000
baada ya dunia kuumbwa which means mpaka sasa dunia ina miaka 40010.je kama kweli mbona mabaki ya dinasals na magodzila yanaonyesha viumbe vimeishi zaidi ya miaka milion 20 iliopita? Ina bible inatudanya? Ukihesabu miaka ya adam kwa yesu ina kwamia kwenye elf 4na kumi. Nahisi kuna uchakachuaji wa ukweli hapa.

Ukumbuke kwamba viumbe wengine kama wanyama waliumbwa kabla ya Adam. Na hatujui ilipita miaka mingapi ndio Adam akaumbwa. Zile zinazoelezwa kwenye Bible siku 6, sio siku hizi ambazo sisi tunazijua. Ukumbuke Biblia inasema miaka 1000 kwa Mungu ni sawa na siku moja. Na hii nikuonyesha tusihesabu siku zetu kwa kulinganisha na siku Mungu alizofanya uumbaji. Ukifuatilia Bible vizuri toka Adam hadi sasa ni zaidi ya miaka elfu 6. Ila toka yesu hadoi sasa ni miaka 2010.
 
Adama na Hawa walizaliwa lini?
 
well, then kuna mtu ana idea ya kua dunia tokea iumbwe mpaka leo ina umri gani? Na hiyo miaka walikua wanahesabu vipi kipindi cha nyuma. Ninavyo jua waroma miezi ilikua inaanzia march then badae wakaongeza january na february. Hapo inakuaje? Na kuhusu miaka elf 1000 kwa mungu ni mmoja, tuna uhakika gani kama ni kweli? Nani wapi huko mbinguni?zamani walisema ni juu lakini sasa watu wanaenda mpaka kwenye orbits na kukuta outer space. Pagum hapo? Nahitaji tafakari zenu wataalam
 
Asanteni sna nimejifungua salama Baby Jesus au Joseph:teeth::teeth:
 
Around 6000
Kwa maelezo zaidi soma kitabu cha Annals of the World: James Ussher
Sina uhakika na authenticity ya hii PDF hapa
 
which means mpaka sasa dunia ina miaka 40010.je kama kweli mbona mabaki ya dinasals na magodzila yanaonyesha viumbe vimeishi zaidi ya miaka milion 20 iliopita? Ina bible inatudanya? Ukihesabu miaka ya adam kwa yesu ina kwamia kwenye elf 4na kumi. Nahisi kuna uchakachuaji wa ukweli hapa.
Dunia ina miaka kama 6000 na kidogo. Hapo kwenye red una ushahidi wowote kuonesha kuwa Dinos wameishi miaka million 20 iliyopita?
 
ushahidi upo, soma kitabu kiitwacho, the nearly truth about every thing, akina charles na enstain wamechunguza na kugundua kua dunia iliumbwa kutokana na bingbang theory at least miaka bilion 4.5 iliyopita. Pia watafiti wamepima idadi ya chumvi ktk bahari ya pasific na ongezeko lake kwa mwaka. Kisha wakagawa the total amount of salt na rate ya ongezeko wakagundua pia bahari hiyo in almost 4 bilion years. Pia alfred wegner na wenzie ktk theory ya continental drift theory wame state kua dunia ina zaidi ya miaka bilion 2. Je hatuoni kama vitabu vya dini vimekosa maelezo ya kutosha?kama hata siku aliozaliwa yesu na tarehe wameshindwa kuifaham hatuoni kama kuna uchakachuaji?
 
nilijua tu utaanza na big bang then utakuja na evolution. Kukusaidia tu hakuna anayejua kisayansi ulimwengu ulliumbwaje. Jiulize maswli haya ambayo wanasayansi hujiuliza:
1. Nini kililipuka (what exploded?)
2. Nini/nani alianzisha mlipuko huo

ni hadithi tu ya watu wazima. Utakavyozidi kuisoma nadharia hiyo utagundua ina mapungufu mengi na kuwa kimsingi si nadharia ya kisayansi bali imani ya wahusika!
 
Back
Top Bottom