Daresalaam yalipuka leo

Daresalaam yalipuka leo

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
2,096
Reaction score
1,337
Hapy bethidei tu yu..hapy bethidei tu yu... Hapi bethidei dia jizaaaaz.....hapiii beeethide tu yuuuuu! Tarehe 25 mwezi wa 12 mwaka wa kwanza katika mji we bethlehem bi maria alimzaa yesu. Mery x mass ladies and gentlemen...
 
asante sana,tunaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa yesu ingawa hakuzaliwa tar 25, ila alizaliwa.
 
alizaliwa tarehe ipi? Na kwanini hatusherehekei ktk siku ile ile? Au unataka kuniambia. X mass imechakachuliwa? Niweke wazi mkuu.
 
Hapy bethidei tu yu..hapy bethidei tu yu... Hapi bethidei dia jizaaaaz.....hapiii beeethide tu yuuuuu! Tarehe 25 mwezi wa 12 mwaka wa kwanza katika mji we bethlehem bi maria alimzaa yesu. Mery x mass ladies and gentlemen...
Sio daslam tu mkuu, hata huku Dongobeshi!
Mfalmewa amani amekuja duniani...mpokee upate uzima wa milele.
 
Ahsante sana mkuu!! nawatakieni sikukuu njema wanaJF, hakika ni siku ya kukumbushana kutenda mema hapa duniani na kujaribu basi kugundua kila mmoja wetu nini haswaa kusudio la mwenyezi mungu kutuleta hapa duniani.
 
Ethiopia wanasheherekea siku ya kuzaliwa Yesu 27/01,Msumbiji leo ni Dia de Familia(cku ya familia),pia nadhani nchi hzi hazisheherekei cku hii
 
safi kabisa, sasa tuwekane wazi hapa yesu alizaliwa tarehe ipi?na kwanini tunasherekea leo? Na ipi maana halisi ya x mas?mbona wayahudi walikua wanasherehekea sikukuu hiyo miaka mingi kabla ya kuzaliwa kwa yesu?naombeni mnisamehe ila nnataka kujua ukweli tu.
 
baby-jesus-mary-joseph-by-dewey.jpg
 
Hizi pcha si za Yesu,kwasababu Yesu alishatoweka wakati wa ugunduzi wa CAMERA,ni pcha za kubuni na kupumbaza wa2
 
alizaliwa tarehe ipi? Na kwanini hatusherehekei ktk siku ile ile? Au unataka kuniambia. X mass imechakachuliwa? Niweke wazi mkuu.

Tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu, ingepaswa iwe wakati wamajira ya joto (summer) na sio wakati huu wabaridi (winter), kwani Bethlehemu wakati huu ni baridi sana, hivyo wachungaji hatukuwatazamia kulisha kondoo nje wakati huu. Yesu alizaliwa miezi ya October na sio December.

Regarding the date for Christmas celebrations, the Enciclopedia de la Religión Católica frankly states: "The reason that the Roman Church decided to assign this date to the festival seems to be its tendency to replace pagan festivals with Christian ones. . . . We know that in Rome at that time, the pagans consecrated December 25 as the celebration of natalis invicti, the birth of the ‘invincible sun.'"

Ila la muhimu amezaliwa MKOMBOZI WETU ambaye alitutoa kwenye dhambi ya asili na kutupa fursa kila mmoja wetu kusamehewa dhambi akitubu KIKWELI. Ila mambo mengi sisi wakristo tunayo yafuata ni mapokeo ya dini tu mengi hayafuati Biblia.
 
safi kabisa, sasa tuwekane wazi hapa yesu alizaliwa tarehe ipi?na kwanini tunasherekea leo? Na ipi maana halisi ya x mas?mbona wayahudi walikua wanasherehekea sikukuu hiyo miaka mingi kabla ya kuzaliwa kwa yesu?naombeni mnisamehe ila nnataka kujua ukweli tu.

Bruce, hakuna muafaka kuhusu tarehe na ndio maana hapa duniani kuna madhehebu mbali mbali tofauti. Bahati mbaya kwenye masuala ya kidini walio wengi hufuata tu mkumbo na ukumbuke pia hakuna kuhoji. Ni suala la wewe mwenyewe kuchambua na kubaini kweli iko wapi ukaifuata vinginevyo acha watu washerehekee sikukuu kulingana na imani zao.

Kama bado wapenda kufuatilia zaidi angalia hapa chini:

Truth Or Tradition - Was Jesus Christ born on Christmas, Dec. 25th, or summer, fall, September
Was Jesus Born on December 25
Was Christ Born on Christmas Day? > The Good News : November/December 2002
 
Sio daslam tu mkuu, hata huku Dongobeshi!
Mfalmewa amani amekuja duniani...mpokee upate uzima wa milele.
Sio huko tu, hata huku Matombo mpaka Nangurukuru kuelekea Pemba na Unguja ni chereko kwa kukumbuka kuzaliwa Mfalme wa ukomboz Yesu Kristo
 
.........Huyu Yesu na azaliwe mioyoni mwetu pia, tuache mabaya na tutende mema hii ndio maana zaidi ya sikukuu hii.....msihoji sana tarehe.
 
.........Huyu Yesu na azaliwe mioyoni mwetu pia, tuache mabaya na tutende mema hii ndio maana zaidi ya sikukuu hii.....msihoji sana tarehe.
Asante mpenzi kwa wosia huu
 
whatever the date-tunachotakiwa ni kusheherekea na na kufwata yale Mungu anyotaka-thats all-
MERRY CHRISTMAS TO U ALL
 
kuna profesor aliandika kua yesu alizaliwa tare 26 ocotober miaka 2000
baada ya dunia kuumbwa which means mpaka sasa dunia ina miaka 40010.je kama kweli mbona mabaki ya dinasals na magodzila yanaonyesha viumbe vimeishi zaidi ya miaka milion 20 iliopita? Ina bible inatudanya? Ukihesabu miaka ya adam kwa yesu ina kwamia kwenye elf 4na kumi. Nahisi kuna uchakachuaji wa ukweli hapa.
 
Back
Top Bottom