Darassa vs Diamond

Darassa vs Diamond

Mr Mikazo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2016
Posts
1,595
Reaction score
806
DARASA - MUZIKI
Mashabik & wangazaji: inaonekana diamond ameanza kuota mapembe.
Darasa: aneota mapembe, muongezee mkia.
Diamond: anaejiona yeye mkali tuweke mkali nan show au collabo.
Darasa: let me make one thing clear blah blah blah ctak kuckia,
Diamond: mi ndo simbaa
Darasa: sio simba, sio chui, sio mamba, ngoz yang inatosha kujigamba.
Diamond: wanakodoaa kodo
Darasa: sina maneno ya kwenye kanga, kaz juu ya kaz yaan pampa to pampa.
Diamond: watuache tulalee (ktk nyimbo yake)
Darasa: kalale uote ndoto zako za kitanda, c bado tupo macho mida ya wanga.
Diamond: (ktk kokoro) nan kazima mziki, itakua salam huyo
Darasa: unasemaga chambua kama karanga!! piga muziki, acha maneno piga mziki.
Team Wcb: diamond ndo anawakimbiza sasa HV
Darasa: unataka kukimbia na hauna break, wat do u expect.?
Diamond: ninashow rwanda burundi, south, zambia nk
Darasa: bongo,Congo, kwa thabo mbeki, cheza lokasa ya mbongo huwez Ku make.
Diamond: mm ndo msanii was kwanza kufanya vtu vkubwa (tuzo na ma show kibao)
Darasa: vitu vingne havitagaki ujuaji, waweza kuta unatandikia watu jamvii.
Diamond: jinga sana wee darasa (diamond anakimbia)
Ben pol: heyyyy, kamataaa......
 
Vitu vingine havitakagi ujuaji,utajikuta unamtandikia mtu jamvi.....
 
nadhan mnamchonganisha darasa na diamond tu, wala yy hakumlenga DMND
 
Hip hop na DIAFLAVOR wapi na wapi....!? Wana wivu haoo....haooo haooo, wachonganishi haooo...MWENDAWAZIMU KAINGIAJEE...!?
 
Darassa mkali ila kwa diamond maji marefu bado anasafari ndefu kumfikia muulizeni kiba pamoja na ukongwe lakini kwa mondi kagwaya msapotini kwa matendo sio maneno
Acha maneno weka MUZIKI
 
DARASA - MUZIKI
Mashabik & wangazaji: inaonekana diamond ameanza kuota mapembe.
Darasa: aneota mapembe, muongezee mkia.
Diamond: anaejiona yeye mkali tuweke mkali nan show au collabo.
Darasa: let me make one thing clear blah blah blah ctak kuckia,
Diamond: mi ndo simbaa
Darasa: sio simba, sio chui, sio mamba, ngoz yang inatosha kujigamba.
Diamond: wanakodoaa kodo
Darasa: sina maneno ya kwenye kanga, kaz juu ya kaz yaan pampa to pampa.
Diamond: watuache tulalee (ktk nyimbo yake)
Darasa: kalale uote ndoto zako za kitanda, c bado tupo macho mida ya wanga.
Diamond: (ktk kokoro) nan kazima mziki, itakua salam huyo
Darasa: unasemaga chambua kama karanga!! piga muziki, acha maneno piga mziki.
Team Wcb: diamond ndo anawakimbiza sasa HV
Darasa: unataka kukimbia na hauna break, wat do u expect.?
Diamond: ninashow rwanda burundi, south, zambia nk
Darasa: bongo,Congo, kwa thabo mbeki, cheza lokasa ya mbongo huwez Ku make.
Diamond: mm ndo msanii was kwanza kufanya vtu vkubwa (tuzo na ma show kibao)
Darasa: vitu vingne havitagaki ujuaji, waweza kuta unatandikia watu jamvii.
Diamond: jinga sana wee darasa (diamond anakimbia)
Ben pol: heyyyy, kamataaa......
Umetisha
 
Mnavyomfananisha darasa na chibu!!
 
Attachments

  • tapatalk_1481317035814.jpeg
    tapatalk_1481317035814.jpeg
    43.2 KB · Views: 192
Back
Top Bottom