Darasa; Mambo ya Kuzungumza na Mchumba Kabla ya Ndoa

Umesahau kuongelea ZERO TOLERANCE zones! Mfano, binafsi kabla hata ya kujizoesha mtu naweka mezani msimamo wangu juu ya mambo 3 ambayo hayakubaliki, hayajadiliki na hayavumiliki. Kuna tigo-utilization, imani za kishirikina (namaanisha je mwenza anadhani waganga wa kienyeji na rituals zinasaidia?) na tatuni physical abuse!

King'asti lakini kabla hujamtamkia hayo masharti yako ni vyema ukasubiri kama hata ana mwelekeo wa kuyasigina.............waweza kukuta umeamsha hisia ambazo hata hazikuwepo za kutaka kudadasi kulikoni............
 
Nicas Mtei mkiingia kwenye hii mijadala mapema yawezekana hata msiive na kujikuta kila mmoja wenu anafungasha virago vyake..............................nionavyo ni kwenda taratibu kwa sababu hata mjadiliane vipi huwezi kuwa na uhakika matendo yatahusiana na hiyo mijadala................mdomo ni jingine na matendo ni mengineyo pia.............
 
Point!!!!!!
 
Mada nzuri, lakini kuna watu humu wanataka kuichakachua......

Big up, mkuu nimekosa cha kuongeza maana King'asti kanisemelea...................
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa kabisa kuongea hayo na mengine mengi .

Ila maisha yanabadilika kama upepo .
yaaani ni kama vile umejitayarisha ku takeoff kwenye runway 34
next mnt the wind changes to runway one, one.

anyway my point is
Ni muhimu kuwa na plans lakini
kuwa flexible ili plan ziki change kutokana
na circumstances fulani za maisha uko tayari ku adapt
na hauta kuwa gizani wala kuchanganyikiwa ..

kuwa na plan A, B .....................Z.

at the end of the day
Life goes on....................

Mhh mimi either sijaelewa au nimeelewa sana...mi mwanamke akisema kuwa na Plan A,B,C Ktk mahusiano nashtuka kidogo,plan hizo kabla ya kuoana?au baada ya kuoana,kuhusu ndugu,mali au ......
 
somo zuri sana Nicas Mtei. Asante!

nilikimbiwa na mchumba baada ya kuongea naye kuhusu ndoa na maisha kwa ujumla. Tulizungumzia kuhusu ndoa nikamwambia napenda iwe ya kawaida ya kuhusisha ndugu wa pande zote na marafiki wa karibu bila kuomba michango kwa watu kwani inageukaga kuwa burden na lawama. Pia nilimpa msimamo kwamba sitapendelea ndugu kukaa nasi bila sababu ya maana. Either awe mwanafunzi, mgonjwa au wazazi wetu, hao ni ruksa. Lakini siyo mtu tu na nguvu zake anakuja tu kukaa kwetu mwaka mzima hana kazi yoyote. Kwenye suala la kusomesha ndugu nilimwambia no way halikwepeki kwani mi mwenyewe nimesomeshwa na ndugu zangu. Baada ya miezi kadhaa mawasiliano yakaanza kulega lega na sasa hivi sina mawasiliano naye tena!
 
Last edited by a moderator:
mipango ni mizuri zaidi haswa mkilidhiana na kuifanyia kazi inakua poa sana
 
Nicas Mtei mkiingia kwenye hii mijadala mapema yawezekana hata msiive na kujikuta kila mmoja wenu anafungasha virago vyake..............................nionavyo ni kwenda taratibu kwa sababu hata mjadiliane vipi huwezi kuwa na uhakika matendo yatahusiana na hiyo mijadala................mdomo ni jingine na matendo ni mengineyo pia.............

Kupanga ni kuamua. Mkshapanga ndpo mtajua ni kwa jinsi gani mtaweza kufikia malengo mlyojiwekea. Hamuwezi kuishi bila kuwa na mipango na malengo.. Suala la kuwa mtakimbiana si la kulipa nafasi. Mungu akiwa kati yenu hakuna kitakachoshndkana.
 
nilikimbiwa na mchumba baada ya kuongea naye kuhusu ndoa na maisha kwa ujumla. Tulizungumzia kuhusu ndoa nikamwambia napenda iwe ya kawaida ya kuhusisha ndugu wa pande zote na marafiki wa karibu bila kuomba michango kwa watu kwani inageukaga kuwa burden na lawama. Pia nilimpa msimamo kwamba sitapendelea ndugu kukaa nasi bila sababu ya maana. Either awe mwanafunzi, mgonjwa au wazazi wetu, hao ni ruksa. Lakini siyo mtu tu na nguvu zake anakuja tu kukaa kwetu mwaka mzima hana kazi yoyote. Kwenye suala la kusomesha ndugu nilimwambia no way halikwepeki kwani mi mwenyewe nimesomeshwa na ndugu zangu. Baada ya miezi kadhaa mawasiliano yakaanza kulega lega na sasa hivi sina mawasiliano naye tena!
Bora uligundua mapema kabla ya hiyo ndoa...
 
Back
Top Bottom