Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Mhh mimi either sijaelewa au nimeelewa sana...mi mwanamke akisema kuwa na Plan A,B,C Ktk mahusiano nashtuka kidogo,plan hizo kabla ya kuoana?au baada ya kuoana,kuhusu ndugu,mali au ......
nilikimbiwa na mchumba baada ya kuongea naye kuhusu ndoa na maisha kwa ujumla. Tulizungumzia kuhusu ndoa nikamwambia napenda iwe ya kawaida ya kuhusisha ndugu wa pande zote na marafiki wa karibu bila kuomba michango kwa watu kwani inageukaga kuwa burden na lawama. Pia nilimpa msimamo kwamba sitapendelea ndugu kukaa nasi bila sababu ya maana. Either awe mwanafunzi, mgonjwa au wazazi wetu, hao ni ruksa. Lakini siyo mtu tu na nguvu zake anakuja tu kukaa kwetu mwaka mzima hana kazi yoyote. Kwenye suala la kusomesha ndugu nilimwambia no way halikwepeki kwani mi mwenyewe nimesomeshwa na ndugu zangu. Baada ya miezi kadhaa mawasiliano yakaanza kulega lega na sasa hivi sina mawasiliano naye tena!
karibu mkuu
Hii kitu umeiweka enzi za Analojia sasa hivi ni kidijitali zaidi je nifanyeje kwa mupenzi mupya?
asante. ila suala la imani za kidini na mahali pa kuabudu....ni nyeti sana aisee........mphhh
Hiyo list inabidi muongelee hata kabla ya kuchumbiana.
Kwel bro. Uvumilivu pia ni jambo muhmu. Bora mtu akosee kujenda nyumba kuliko akosee kuoa/kuolewa.Mkuu Nicas Mtei asante sana kwa mada nzuri Na inafaa sana kuyaongelea hayo kabla ya kuingia kwenye ndoa Maana wengi ni kweli wanaiwazia sana siku ile ya kufunga ndoa bila kujua kuwa kuna maisha mbele baada ya ndoa na hawawazii yatakuwaje Kuna watu wanawaza tuu kuwa kila kitu kitakuwa salama bila kujua kuwa kuna kupanda na kushuka kwenye maisha na kuna matatizo yaklmengi tuu ambayo yanahitaji ushirikiano wa pamoja katika kuyatatua Umeacha kitu muhimu sana nacho ni uvumilivu haswa kipindi ambacho kuna matatizo maana wengi hapa ndio machungu ya ndoa yanapoonekana na wanaposhindwa kuyavumilia