Darasa la kupigilia pamba kijanja

namba tatu, imenikumbusha jamaa yangu maana huwa nikimuona tu sina mbav,mashat yake ni kama yale ya sugu ya zaman!
Ukimkosoa jinsi anavyovaa...utapigwa ngumi bure
Binafsi naamini kuvaa ni fani na kipaji pia.........
Kuna watu wanaijulia
Wengine kila siku kituko tu
 
Ukimkosoa jinsi anavyovaa...utapigwa ngumi bure
Binafsi naamini kuvaa ni fani na kipaji pia.........
Kuna watu wanaijulia
Wengine kila siku kituko tu
niliwah kumwambia, akawa mkal balaa, ila kila mtu anachokiamin kipo xwa ni kuacha tu
 
Shati langu jeupe ngoja niligawe maana ntaonekana mwanafunzi.
Mkuu ni zuri na linakutoa bomba tatizo ukiwa nalo km la mwanafunzi ni shida ...

Mfano ukienda kwenye sherehe utafananishwa na wapishi au wagawa vinywaji
Tafuta ya fasheni ya kijanja mfano shati jeupe linacolar nyeusi,sehemu ya kukunyia mikono rangi nyeusi. Au sehemu ya vifungo kuna mistari ya pundamilia...utaeleweka !!!!
 
Asante kwa kunitia moyo Mkuu, ila ni kweli kwenye sherehe kufananishwa na wapishi ni sahihi hahahaa.....
 
Mimi kuna bank hizi za waalimu nilikutana na jamaa kavaa suti (three pieces)ina rangi ya njano ka maua ya alizeti,jamaa alikuwa comfortable kinoma,akiamini kaja kutushika,nilimshangaa na sitomsahau maishani kwa uvaaji mbovu kama ule.
Kila MTU ana falsafa yake ya uvaaji! Usitake falsafa yako iwe ndo ya watu wote!
 
Kila MTU ana falsafa yake ya uvaaji! Usitake falsafa yako iwe ndo ya watu wote!
Mnabizhana bure.....
Zile ni tips tu siyo sheria....hajalazimishwa mtu kuzifuata! Ukipenda vaa hata kaniki.......
 
Sheria za suti
1.ustembee kwa miguu safar ndefu
2.usiombe lift
3.usitembee na hela za vichele mfukoni
4.ukinunua kitu usiombe chenji.

endelea na wewe
 
Back
Top Bottom