Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe
amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
Labda mkulu awe hajasikiaAiseee!!
Kama wakitoka hao, sijui!!
Asije akazidi kuvimba kichwaHuyu hana management maana naona anapayuka payuka tuu.
Aiseee!!
Kama wakitoka hao, sijui!!
Avimbe mara ngapi?Asije akazidi kuvimba kichwa
Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe
amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
Hii ni dharau kubwa sana..Na mbaya zaidi anachochea kwa kuongea kwenye media.
Nafuu wangefanya kimya kimya
Kesho atakuja taahira mwingine atasimamia usukani akicheza huo wimbo ili aje atolewe na darasa..hapana, haiwezekani!Labda mkulu awe hajasikia