Preta kwa fix aiseeNilidhani San Fransisco..........
Nilidhani San Fransisco..........
Contractor alikuwa anajenga usiku tu,kampuni ya Italy inaitwa cojifa jamaa walikuwa vzr sana
Ha ha.....tulia.....
Nitatuliaje wakati nimeahidiwa mbuzi aisee
Oooh yeah..........mbuzi is zea tu stei........ila hii hali ya hewa kwa moromboo hakufai.......nakupeleka mbuzi limao + dance........vipi hiyo......?
Ni kweli liko Mara hilo, nilipita huko last year. Ni zuri kwa kweli linavutia. ila kuhna mabasi yana kimbia sijapata ona aisee, na hakuna traffic wala nini.....
Yes ni kweli, walianza kuripoti al jazeera na sasa hivi BBC wameripoti.
Upo mbali na mawasiliano na unaweza ingia JF? hivi mpaka leo haijakuingia akilini kuwa internet ni mawasiliano?
Contractor alikuwa anajenga usiku tu,kampuni ya Italy inaitwa cojifa jamaa walikuwa vzr sana
Yaani umeninyanganya tonge mdomoni. Kama hili limewezekana huko, kwanini wasifanye na kwingine pia??? :A S 39:Sasa si wangepewa kujenga pale jangwani mana hili nalifananisha na madaraja ya nje
Yes ni kweli, walianza kuripoti al jazeera na sasa hivi BBC wameripoti.
Upo mbali na mawasiliano na unaweza ingia JF? hivi mpaka leo haijakuingia akilini kuwa internet ni mawasiliano?
Kumbe siku nyingine unakuwaga na akili....