Daraja maarufu Tanzania

Daraja maarufu Tanzania

NI DARAJA LA KIRUMI MTO MARA - KUVUKA KWENDA Tarime na Rorya hadi Sirari mpakani MURA TATA WA CHING'OMBE . POT!!!! Tuko pamoja tuna serrrrrrrrrrrrrrrrrrrrreka haki ya mama tuuuuuuuuuuu tata

Ahahhahahaaaa nipo Utegi hapa nipitie uraaaa
 
picha imeonekana vyema sana, uwezi jua kama ni kwa kina muraaaaaaa
 
tuache uongo hilo daraja ni very classic na linavutia sana. Pana mto unaokatisha ziwa kwenye hilo daraja. Si daraja tuu hata hiyo barabara ya lami huwez linganisha na barabara nyingine za lami kwa maana ina viwango tofauti kabisa
 
Contractor alikuwa anajenga usiku tu,kampuni ya Italy inaitwa cojifa jamaa walikuwa vzr sana
 
Linaitwa daraja la kirumi, liko mto mara kama unatoka Musoma kwenda Tarime, au unatoka Mwanza kwenda Tarime lazima utapita kwenye daraja hili.

Nililipenda kwa style lilivyojengwa alafu kama uko pale gari kubwa likipita unahisi kama daraja linanesanesa kama unavyohisi kitu chenye spring kinanesa au kama kitanda cha chuma kama ulishakilalia( watoto wa kitanzania tu, wale mambo safi hawajawahi)
Hapo kwenye bold umeniacha hoi mkuu. Itabidi niombe ridhaa kwa mshua anipatie hiki kitanda maana mpaka leo kipo nyumbani.
 
tuache uongo hilo daraja ni very classic na linavutia sana. Pana mto unaokatisha ziwa kwenye hilo daraja. Si daraja tuu hata hiyo barabara ya lami huwez linganisha na barabara nyingine za lami kwa maana ina viwango tofauti kabisa
kwa kweli tembea yangu hata mm limenivutia sana
 
hapa ndipo kulikua na kibao SASA UNAINGIA TARIME , wamekiondoa siku hizi
 
Back
Top Bottom