Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
wasaalam wana jf.
Nimepita Mabatini naona kuna hekaheka za maandalizi ya kupamba uzinduzi wa ufunguzi wa daraja la juu.
sijajua ni kiongozi gani atazindua ila kiu yangu ni kutaka kujua kama mbunge wetu wenje naye kama atahudhuria kwasababu sijawahi kuona jitihada zozote alizofanya.
Nampongeza sana Mama Maria hewa kwa juhudi zake hata bungeni nilishudua mara mbili akiulizia hili daraja.