Daraja la Kigamboni Linajengwa kwa Ufadhiri wa NSSF

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Nimesikia leo katika Taarifa ya Habari kupitia ITV saa 2 kuwa Daraja hili linajengwa kwa Ufadhiri wa mfuko wa NSSF, huu mfuko ni wa Hifadhi ya fedha za wananchi hususani watumishi nimejiuliza sana kama tujuavyo hizi fedha ni kwa ajili ya kuwalipa mafao watumishi na kama zinatumika katika ufadhri je hii ni halari kweli? je Serikali imekosa vyanzo vingine kwa ajili ya ujenzi huu?
 
Ya ni pesa zetu ila CCM wanadai ni juhudu zao, yaani pesa za michango ya wanachama ndo inatumika kutekelza Ilani ya CCM, hii haikubaliki
 
Kwani ulikuwa hujui NSSF hizo hela wanawekeza ili kuzalisha?NSSf hawana kosa hapo deal safi kabisa
 
Oooooooo!!!!!!,ndo maana wanang'ang'ania ifungwe watu wasubili mpaka uzeeni!!!!!!!!.Zito kabwe aliikomalia sana hii ishu ya MAFAO YA UZEENI kama vile alikuwa na mapenzi mema na Wafanyakazi wa TANZANIA kumbe alikuwa anapigania mkate wake wa kila siku!!!!.Alipozwa na kitu kidogo akapoteza kabisa utu.
 
Ya ni pesa zetu ila CCM wanadai ni juhudu zao, yaani pesa za michango ya wanachama ndo inatumika kutekelza Ilani ya CCM, hii haikubaliki

Huo ni mkopo serikali imekopeshwa..gavamenti iko hoi mishahara ya watumishi ya Novemba 2013 imekopeshwa na Sayeed Bakhresa kwa riba nafuu......
 
Nimesikia leo katika Taarifa ya Habari kupitia ITV saa 2 kuwa Daraja hili linajengwa kwa Ufadhiri wa mfuko wa NSSF, huu mfuko ni wa Hifadhi ya fedha za wananchi hususani watumishi nimejiuliza sana kama tujuavyo hizi fedha ni kwa ajili ya kuwalipa mafao watumishi na kama zinatumika katika ufadhri je hii ni halari kweli? je Serikali imekosa vyanzo vingine kwa ajili ya ujenzi huu?
Ndio maana hawana hela ya kuwapa wote wanaojitoa au kutaka pewa hela za Uzazi km wanavyojidai.Wanatoa sot ndogo sana , natokeo yake watu wanalazimishwa rushwa ili wawe ktk hizo slots.
 
Back
Top Bottom