kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,732
Nimesikia leo katika Taarifa ya Habari kupitia ITV saa 2 kuwa Daraja hili linajengwa kwa Ufadhiri wa mfuko wa NSSF, huu mfuko ni wa Hifadhi ya fedha za wananchi hususani watumishi nimejiuliza sana kama tujuavyo hizi fedha ni kwa ajili ya kuwalipa mafao watumishi na kama zinatumika katika ufadhri je hii ni halari kweli? je Serikali imekosa vyanzo vingine kwa ajili ya ujenzi huu?