CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Bila shaka nawe utakuja ni kile kivazi chako cha siku ile ili tukicheza mambo ya bluuz mambo yawe shamsham.... Nicas Mtei tutamtaka radhi hiyo siku.:becky::becky:
mimi ntakuwepo. Nicas Mtei ntakuja naye. Itabidi nije na valuu yangu. mia
Au kama vipi utinge kile nlichokununulia kama zawadi ya bithday yako......Sure sure babuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
Kuona viiiiingi sana!:madgrin::madgrin::madgrin:hahahahha! unataka kuona zaid ya kuedit hii post tu??
Daaaaa! Nimegundua Mtambuzi utatugundua wengi maana majina halisi yatatokea! Sasa itabidi nikutumie kwa kupitia wakala aiseee! SMS itafuata baada ya hapo.
Wewe unatuchukia, Mimi nimeshatambua,
Vikao wavikimbia, Kazi unasingizia,
Hakika watubania, Nduguzo watukimbia,
Kimya chako cha mashaka, Nduguzo watuchukia
Surayo watubania, Kutingwa wasingizia,
Kila mara wakimbia, Vikao vya jumuia,
Kazi wazisingizia, watukimbia jamaa,
Kimya chako cha mashaka, Mduguzo watukuchukia.
Sababu waturushia, Tena za kuongopea,
Surayo twatamania, wewe unaifichia,
Kwanini watuchukia, tena unatukimbia?
Kimya chako cha mashaka, Mduguzo watukuchukia.
Na Babu ODM
Kaunta ya Juu, Mfalme Nyota,
Fyatanga Bar
Boko Basihaya.
.
Vigezo na mashart kuzingatiwa....hahahah! haya bana ila kule kuna siku nilikuona umekwenda na ulitumia ile simu manake ilisema kabisa
sent from nokia asha lol!
babu siamini hizi vesee kama umeshusha wewe..... au ukipata Contesa ndio unatiririka hivi?
angalia ally Choki akikusikia anakusajili
babu siamini hizi vesee kama umeshusha wewe..... au ukipata Contesa ndio unatiririka hivi?
angalia ally Choki akikusikia anakusajili
charminglady umenichekesha wewee, kidogo msosi upite njia ya hewa! Ha ha ha haaaaaa!Duh... Una akili sana sana wewe! Ungesoma zaidi ya hapo ungelikuwa Mbeba kiti cha mkuu wa kaiya!!!!
Me ntatumia Private Namba :becky: :doh:
Mbona Mwajuma tunalijua jina lako siku nyingi tu? Hofu ya nini msiri wa homeboy wangu Kaizer?
ahhaahaha siku hizi wakala wanagoma wanakutumbukizia then ndio wewe utume kazi ipo Mwajuma... nipe mimi nikutumie