Naomba na salamu nyingine zifike Rocky City wing
Copy kwa Rocky city charminglady Judgement Elizabeth Dominic ram
Popote ulipo Chocs nakumiss mpenzi.
tandale wing wewe hujui?
Hahahaha..... Mzazi mwenzangu kwani uko mkoa gani weye?
Hujipendi eeh..... lily Flower mwenyewe kaniachia mimi
Mi hata sijui nipo Wing gani. Dah!
Nipo huku Katavi. Namuwinda Kinana
Hahahaha..... Mzazi mwenzangu kwani uko mkoa gani weye?
siku ukikumbuka shuka kutakuwa kumekucha.
Huyu Nicas Mtei nadhani ni homeless!