Dar Wing...pokeeni salam nyingi kutoka Arusha Wing

Kwa watu wangu wa Arusha Wing naomba kutoa shukurani zangu za dhati kwenu nyinyi kwa mioyo yenu safi kwa wageni na ninachuka wasaa huu kuwambia kuwa nimefika salama Dar na salamu zenu nitazitoa kwa siku ambayo tutakutana na Da wing!

CC; Preta, Arushaone, Erickb52, Crashwise, PakaJimmy, Maxence Melo, Liverpool fc Loner, sweetlady , Mungi, Lily Flower, Halisi, Blaki Womani!!!!!

CC: Dar wing,
Mtambuzi, Madame B, Nivea, Smile, gfsonwin, babu mkaguzi ODM Asprin, Paloma, Ruttashobolwa, Kipaji Halisi, FirstLady1, cacico, Zion Daughter, Mwanajamiione, Tulizo, Chocolate, watu8, Vin Diesel,@figganiga,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom