CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Naona raia wamegoma kurudi maskani...
Daddito...... Chezeiya bata weye, afu bata zenyewe za msimu!!!! :bange: :bange:
Nijambo lakusikitisha na lakushangaza ila mambo yanaenda!charminglady unaanzqje kumsahau bazazi?
Utakula vingapi??ukisusa wenzio twala
Nakweli viwango hivyo sina maana vyangu vipo juu zaidi ya hapo!!Ukiona hivyo basi ujue kwamba huna viwango
Eti na wewe Bi-zazi umesahaulika??au hawa wanajipa promo??Nashangaa ujue!
Hata mie bi-zazi nimesahaulika!
Nimegoma na mie!
Ajajaja hata wewe kungwi?Hata mie babu mesahaulika bana...
Mwaaa mwaaaa mwaaaa!!wait....!!:tonguez:Oooohhh.... Plz kam zis wei!!!!
Goma mwaya....hata hapanogi bila mabazazi
charminglady unaanzqje kumsahau bazazi?
Daaa mie nisamehewe bure!! Ijumaa usiku nimepoteza simu zangu na laptop vyote tumepigwa na wajanja Sinza kwahy sikuona huu mwaliko!!
Ila kwavile Mabazazi walipata taarifa najua mambo yalienda safi...
avatar-ni umetokelezea!!! hattarree
Daaa mie nisamehewe bure!! Ijumaa usiku nimepoteza simu zangu na laptop vyote tumepigwa na wajanja Sinza kwahy sikuona huu mwaliko!!
Ila kwavile Mabazazi walipata taarifa najua mambo yalienda safi...
Kwakuwa mmenisahau siji! Kwani bila mimi escape1 mngeiona wapi? Naona siguswi mimi siji na ni mekasirika😀:banghead:
Wewe tu ndiye ulikosa!!!
charminglady unaanzqje kumsahau bazazi?