CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hahahaa
Yaani niko peke yangu hamna hata aliyefika
Kwakuwa mmenisahau siji! Kwani bila mimi escape1 mngeiona wapi? Naona siguswi mimi siji na ni mekasirika😀:banghead:Haya hayaaaa.....
Leo tunavunja kamati nzima ya Party ya last week ndani ya LEO TUPO HAPA PUB....
Come one Come all......
C.c. Mtambuzi, watu8, lara 1, miss neddy, Munkari, Isumbwile, Ben Mugashe, Mwita Maranya, Ruttashobolwa, Nicas Mtei, Elizabeth Dominic, Mentor na wooootee. .. .
Kwakuwa mmenisahau siji! Kwani bila mimi escape1 mngeiona wapi? Naona siguswi mimi siji na ni mekasirika😀:banghead:
Mie niko hapa njiani nakuja!!!
Kwakuwa mmenisahau siji! Kwani bila mimi escape1 mngeiona wapi? Naona siguswi mimi siji na ni mekasirika😀:banghead:
Hebu charminglady nielekezeni na miye nije basi au kwa kujuana shostito?Mie niko hapa njiani nakuja!!!
Ukiona hivyo basi ujue kwamba huna viwangoKwakuwa mmenisahau siji! Kwani bila mimi escape1 mngeiona wapi? Naona siguswi mimi siji na ni mekasirika😀:banghead:
Ukiona hivyo basi ujue kwamba huna viwango
charminglady unaanzqje kumsahau bazazi?
Nashangaa ujue!
Hata mie bi-zazi nimesahaulika!
Nimegoma na mie!
Kwakuwa mmenisahau siji! Kwani bila mimi escape1 mngeiona wapi? Naona siguswi mimi siji na ni mekasirika😀:banghead:
Nashangaa ujue!
Hata mie bi-zazi nimesahaulika!
Nimegoma na mie!