DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

Kuna lile Shairi la "NIKIZIPATA BUNDUKI" la Mohammed Seif Khatibu katika Kitabu Chake cha Fungate ya Uhuru najiimbia apa Taratibu
 
Dunia inajua kwamba Tanzania hakuna demokrasia
Dunia inajua wote wanaopigania demokrasia bila woga wamewekwa gerezani na police kwa amri ya raisi magufuli

Dunia inajua lisu anashikiliwa kwa amri ya raisi, waziri mkuu, mwigulu nchemba bila kosa kisa tu akishinikiza sheria na katiba ya nchi kufuatwa

Dunia inajua lisu yuko ndani akipigania demokrasia ya vyama vya siasa kuendelea na mikutano na shuhuli zao kama ilivyo ada ya vyama vya siasa bila kuzuiliwa na yeyote

Kinachoshangaza kuna chama kimoja tu cha ccm kinaendelea na mikutano yao bila kuzuiliwa ila chadema kimezuiliwa

Nasema hatutalala mpaka tumehakikisha hali imekuwa sawa na ikishindikana Tutatumia zile za mwigulu nchemba alizozifanya mpaka akapata uwaziri wa mambo ya ndani

Tundu lisu aachiliwe mara moja na hizo amri zilizotokea huko juu

Narudia tena dunia inajua lisu yuko ndani bila kosa kwa amri ya waliojuu
 
waambie waje wamchukue puppet wao tumemuhifadhi sehem salama
 
Makamu wa Rais - Zenje
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - ???
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
 
Njia pekee na sahihi ni chadema kwenda ICC The Hague kufungua kesi dhidi ya Udikteta wa magufuli na Timu yake yote ili wapate kujitambua na kuacha kuwabambikia Wapinzani kesi ni uonevu kuwakomoa na kutumia pesa za Umma kwa mambo ya hovyo hovyo ikiwemo kumpatia Lipumba adhoofishe upinzani na zingine wanapewa Bashite kutengeneza Slow poison kuwateketeza Wapinzani pindi wakiwa jela,
 
Dunia inamjua tundu lisu? Kama nani? Kwa lipi la maana? Nenda hata kilwa waulize kama wanamjua mtu kama huyu, hajulikani bhana acheni ujinga.
 
Makamu wa Rais - Zenje
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - ???
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020

Usijivue ufahamu. Jibu hoja ya Lissu na utaje vile vyeo alivyotaja yeye. Hao uliowataja hakuwataja. Katibu Mkuu wizara ya fedha, naibu wake, MKUU wa majeshi, MKUU wa polisi nk. Jibu hoja.
 
Dunia inajua kwamba Tanzania hakuna demokrasia
Dunia inajua wote wanaopigania demokrasia bila woga wamewekwa gerezani na police kwa amri ya raisi magufuli

Dunia inajua lisu anashikiliwa kwa amri ya raisi, waziri mkuu, mwigulu nchemba bila kosa kisa tu akishinikiza sheria na katiba ya nchi kufuatwa

Dunia inajua lisu yuko ndani akipigania demokrasia ya vyama vya siasa kuendelea na mikutano na shuhuli zao kama ilivyo ada ya vyama vya siasa bila kuzuiliwa na yeyote

Kinachoshangaza kuna chama kimoja tu cha ccm kinaendelea na mikutano yao bila kuzuiliwa ila chadema kimezuiliwa

Nasema hatutalala mpaka tumehakikisha hali imekuwa sawa na ikishindikana Tutatumia zile za mwigulu nchemba alizozifanya mpaka akapata uwaziri wa mambo ya ndani

Tundu lisu aachiliwe mara moja na hizo amri zilizotokea huko juu

Narudia tena dunia inajua lisu yuko ndani bila kosa kwa amri ya waliojuu
Wazungu wanachojali ni uchumi tu utakaowapa pesa magufuli kawabana maeneo wanayopatia pesa za hovyo hovyo hili la Lisu wala hawana muda nalo uhuru wa kuongea hauwaingiziii hata shilingi mia sana sana pesa zitatawatoka kuwapa vibaraka fisadi wa kitanzania wanaojitia kuandika miradi ya advocacy ya kuwasemea wazungu kama lisunbungeni nk at a fee.
 
Makamu wa Rais - Zenje
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - ???
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
Hivi Mhongo bado ni Waziri? Bangi linalotolewa Lumumba halijawahi muacha mtu salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inajua kwamba Tanzania hakuna demokrasia
Dunia inajua wote wanaopigania demokrasia bila woga wamewekwa gerezani na police kwa amri ya raisi magufuli

Dunia inajua lisu anashikiliwa kwa amri ya raisi, waziri mkuu, mwigulu nchemba bila kosa kisa tu akishinikiza sheria na katiba ya nchi kufuatwa

Dunia inajua lisu yuko ndani akipigania demokrasia ya vyama vya siasa kuendelea na mikutano na shuhuli zao kama ilivyo ada ya vyama vya siasa bila kuzuiliwa na yeyote

Kinachoshangaza kuna chama kimoja tu cha ccm kinaendelea na mikutano yao bila kuzuiliwa ila chadema kimezuiliwa

Nasema hatutalala mpaka tumehakikisha hali imekuwa sawa na ikishindikana Tutatumia zile za mwigulu nchemba alizozifanya mpaka akapata uwaziri wa mambo ya ndani

Tundu lisu aachiliwe mara moja na hizo amri zilizotokea huko juu

Narudia tena dunia inajua lisu yuko ndani bila kosa kwa amri ya waliojuu
maneno ya hovyo aliyoyasema huyajui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamu wa Rais - Zenje
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singidag
Mbarawa - Zenji
Kabudi - ???
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji

Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
Unaonesha wewe ni mvivu wa kusoma na kusikiliza alichosema Tundu Lissu. Jitahidi kufuatilia kilichosemwa kabla hujachangia maada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom