Dar tumebarikiwa.

mmmmh lakin hali ya hwe yenyewe hata haielewek inaweza kuchange muda wowote kuanzia sas
 
dar tumebarikiwa lakini hatuwezi kuwazidi Iringa. uzuri wa hii baridi ni kwa walio oa. mia
 
nadhani hii thread utakuwa unaiandika ukiwa kwenye kiti cha kuzunguka katika moja ya maofisi hapo posta, na kwenye room iliyo na utulivu huku ukipigwa na kipupwe cha AC...
Ukitaka kujua Dar kuna joto kiasi gani...nenda ukatumbukie pale KARIAKOO SHIMONI...
 
Back
Top Bottom