Swali la kujiuliza ni kwamba hizo matangazo uzikuta mbagala pekee kwanini?Sasa kiongozi kwani wale wa Mbagala wanaweza kuunganisha watu bila ya kuunganishwa makao makuu kiongozi...?
Si watakuwa wamepata baraka zote kutoka ofisini bro...?
Itakuwa kazikazin huko. Lakin hata SGD hicho kifurushi kipo nilipita 3weeks agoMkoa gani upo!!!
Itakuwa kazikazin huko. Lakin hata SGD hicho kifurushi kipo nilifpita 3weeks ago
KilimanjaroMkoa gani upo!!!