asanteni sanaKaribu sana kwenye swala mkuu
Hiyo 27 umeitoa wapi mkuuKwa maana hiyo Idd ni Tarehe 26 na 27 ama. ?
Barua inasema wazi 25 au 26 kutegemea kuandama kwa mwezi. Wewe unasema 26. Kazi kwelikweliSheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Salim asema Sikukuu ya Eid El-Fitri ni Juni 26 na swala itaswaliwa katika uwanja wa Mnazi Mmoja.
Taarifa rasmi kutoka Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) kuhusu Sikukuu ya Eid El-Fitri.
View attachment 529294
Kukurupuka.....Ulichoandika ni tofauti na tangazo la Bakwata