DAR: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Mussa Salim atangaza Eid El-Fitri itakuwaJuni 26

Ulichoandika ni tofauti na tangazo la Bakwata
Tofauti kubwa sana. Eid ni baada ya siku 30 za kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhan au mwezi Mwandamo siku ya 29 baada ya Ramadahan. Na kwa maelezo hayo ni ni tarehe 25 au 26 kama BAKWATA walivyoeleza.
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Back
Top Bottom