DAR: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Mussa Salim atangaza Eid El-Fitri itakuwaJuni 26

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397



Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Salim asema Sikukuu ya Eid El-Fitri ni Juni 25 au 26 na swala itaswaliwa katika uwanja wa Mnazi Mmoja.​


Taarifa rasmi kutoka Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) kuhusu Sikukuu ya Eid El-Fitri.
Screenshot from 2017-06-23 13-19-10.png
 
Simpendi, hana uhalisia , mnafiki kama Maaskofu walivyo! Kimya as if nothing is happening here!
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Salim asema Sikukuu ya Eid El-Fitri ni Juni 26 na swala itaswaliwa katika uwanja wa Mnazi Mmoja.

Taarifa rasmi kutoka Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) kuhusu Sikukuu ya Eid El-Fitri.
View attachment 529294
Barua inasema wazi 25 au 26 kutegemea kuandama kwa mwezi. Wewe unasema 26. Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom