DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,720
55,859
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amepiga marufuku biashara ya shisha, Sigara na Ushoga jijini Dar.

'Mimi ndio mbabe wa vita. Ndani ya siku 7 biashara iwe imefungwa Mara moja' amesema Makonda.

Amesema Ndani ya mkoa wangu(Dar) ni marufuku kuvuta sigara hadharani!

Aidha, ni marufuku wakazi wa Dar ku-follow mashoga kwenye twitter, Facebook, Instagram nk. Amewatahadharisha watu Just kuunfollow them ili usiwe hatiani!

Kaongezea kwamba, Kuna Asasi za Kiraia(NGO) zinapokea misaada ili zitetee mashoga. Kwenye mkoa wake wa Dar hizo NGO zote atazifuta.

Ameongeza, Ukiandaa Kitchen-Party ukamwalika shoga; wewe bibi harusi na familia yako na huyo shoga mna hatia zinazofanana!

Wale wanaowa-follow mashoga ktk mitandao ya kijamii wanafanya makosa sawa na mashoga. Tutawashughulikia kwa makosa sawa

Dar es Salaam Sasa Kumekucha.
 
Awaulize Malawi.. Waliwafunga mashoga.. Usa alichokifanya Malawi waliwaachia wenyewe.. Sasa Makonda kwa vile ameshapata kiusrafiri na kiofisi kina komputer ya apple basi hana vision nyingine.. Jiji chafuu hata uzio wa ofisi yake mara ya mwisho kupakwa rangi sijui n lini..ku operatte tu BRT imekuwa issue amekimbilia kwenye shisha.. Hajui kuwa shisha ni ajira..
Na shisha wanavuta waarabu na ndio ustaarabu wao.. Anaijua bei ya shisha kweli? Anajua shisha ni nini? Au kwa vile anaona dense smoke basi anajua ni bangi..
Huu ni ustaarabu wa waarabu.. Na wanauza kwenye masupamaketi yao akaanzie kwanza kwenye supermaketi za wahindi na waarabu akazibebe zote ndio tutuona kidume.. Au akawafumge hao waarabu tuone kama gsm watampa tena futari.
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    105.6 KB · Views: 295
afu wa Tz hamueleweki sana
wengi mnaochangia hii mada ni wanaume.
tukipost akina james na Rio wakina Davito mnajifanya mnapanic kwanini wasichana tunawapenda mashoga tumawasapoti
sasa nyinyi mwanaume mwenzenu katangaza nia mnamkejeli..
hivi nyinyi jema kwenu ni lipi?????
kwawekea hela mifukoni?????
 
Mkuu wa Koa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amepiga marufuku biashara ya shisha, Sigara na Ushoga jijini Dar. 'Mimi ndio mbabe wa vita. Ndani ya siku 7 biashara iwe imefungwa Mara moja'. KAsema Makonda. Amesema Ndani ya mkoa wangu(Dar) ni marufuku kuvuta sigara hadharani!, Ni marufuku wakazi wa Dar ku-follow mashoga kwenye twitter, Facebook, Instagram nk. Amewatahadharisha watu Just kuunfollow them ili usiwe hatiani!

Kaongezea kwamba, Kuna Asasi za Kiraia(NGO) zinapokea misaada ili zitetee mashoga. Kwenye mkoa wake wa Dar hizo NGO zote atazifuta.

Dar es Salaam Sasa Kumekucha
Wauza unga,wabwia unga na mateja wao sijawaona wakitajwa hapa
 
Back
Top Bottom