Paul Makonda: Wananchi wa Dar nitumieni majina na taarifa za mashoga, nitawashughulikia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awataka Wananchi kutuma taarifa za watu wanaojihusisha na ushoga na mapenzi ya jinsia moja waliopo kwenye mkoa wake

Paul Makonda amesema kuwa wamekuwepo 'mashoga' wanaojinadi kupitia Mitandao ya Kijamii, ataka wananchi wamtumie taarifa zao kuanzia siku ya leo hadi Jumapili

Kosa hili liko wazi ndio maana hukumu yake ni kifungo cha maisha au miaka 30 jela hii kuonesha kuwa serikali iko makini na haitaki maadili yaharibike

Makonda asema kuwa majina yote ya watu wanaovunja maadili ya Mtanzania watume kwenye namba yake ya 0682009009

Asema kuwa mwanadada Amber Ruty na mpenzi wake wako chini ya uangalizi wa Jeshi la Polisi tangu alipotangaza wajisalimishe kituoni

“Tayari Amber Rutty na Bwana yake wapo chini ya Polisi, pia nimepata taarifa kuwa kuna mashoga kazi yao kujinadi mitandaoni, kuanzia leo Jumatatu hadi Jumapili napokea taarifa ya jina lolote la anayefana vitendo kinyume na maadili ya kitanzania, yapo makundi mengine WhatsApp kazi yake kuhamasisha tendo la ngono, tumeamua kulivalia njuga suala la makosa ya kimtandao” RC Makonda.
 
Anafahamu kuwa hii ni mara ya pili sasa kutaka jambo hili. Anataka awafanye nini ? Amba Ruth amempa uhalali wa adhabu?
Sipendi ushoga lakini hakuna haja ya kutangaza angetumia utaratibu mwingine kuwapata hii itamuharibia kwanza kadhawapa attention....anyway ye anajua zaidi ktk hili
 
Daaa sheria inakataza pia vitabu vya dini vimekataza kwa herufi kubwa hata kibinadamu ni kitu kibaya sana ila hao wafadhili sasa watampiga ban bora angekua anawakamata kimya kimya
 
Mashoga wa Tanzania ni wakati wa kuomba uhifadhi nchi nyingine(Asylum), naona Serikali imeshindwa kufanya mambo makubwa kwa wananchi wake inahangaika na petty issues
This too is a disaster so makonda yupo sahii
Mkuu wewe uko jf tu hujui kitu
Tulioko groups za whatsapp tunaona mengi
Last time kuna moja lipo arusha lilitum picha za tigo yake linataka bwana na contacts likaweka
Ilikua group la nyimbo mbalimbali
 
Aanze na madanguro. Mbona yapo nanyanajulikama mwananyamala, manzese, buguruni n.k
 
Back
Top Bottom