DAR: Polisi yapiga marufuku mazoezi ya kukimbia 'Jogging' barabarani bila kupata vibali

Maandamano yatakuwa siku gani? kama ni siku ya jumamosi au jumapili iyo ni akili ya ziada
 
Huu ni ujinga mwingine. Wewe kamanda jiongeze vhukua fursa kuongea na Makamu wa Rais. Mazoezi miji mikuu yafanyike wapi? Kukataza pekee ni ujuha na subordination kwa boss wako.
Inaonyesha hujawahi kutana na kero za hawa watu....
 
Hii levels ya paranoias its too much now .... Tanzanians people's control by the fears sasa mmmmh
 
hii qali ..nchi Yetu wenywe lakini tunageuzwa kuishi kama wakimbizi
 
Sawa kabisa... Tusipozingatia utaratibu wa matumizi sahihi ya barabara ni rahisi kusababisha ajali.
Unazo takwimu za ajali zitokanazo na ajali?No research No right to speak
 
Mama Samia alituhimiza tufanye mazoezi.

alisema na sehemu ya kufanyia mazoezi? Kama ndio, barabarani ilikuwemo? Hivi ata kama alisema wafanye mazoezi, sio kwamba mazoezi ufanyiwa sehemu za mazoezi?
 

Kwanini wasitumie barabara za mitaani wanatumia barabara kuu?mbn sisi tunakimbia za mitaani kukwepa magari hao wengine wanatafuta nini huko barabara kuu?wachepuke tu hamna namna!!!
 
Hii yote ni namna ya kujiandaa kukabiliana na April 26 tu,nothing else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…