Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,440
- 12,294
Kumebakia viwanda vya kupiga watu risasi tu!
!
Bwana wee full sarakasi.
Hakuna cha Viwanda wala Mavi yake viwanda
Kumebakia viwanda vya kupiga watu risasi tu!
!
Bwana wee full sarakasi.
Hakuna cha Viwanda wala Mavi yake viwanda
Bado unaweza kukimbia mtu mmoja au wawili ila sio kundi Kama ilivyo sasaJamani ....,sasa hii Miili yetu hasa kina dada bila mazoezi itakuwaje!!♀️
Hii inakera sanaBado unaweza kukimbia mtu mmoja au wawili ila sio kundi Kama ilivyo sasa
Sasa unaweza kuta group kubwa la watu wanafanya mazoezi Katikati ya Barabara bila kujali kwamba wanaingilia shughuli za watu wengine
Nimebaki nacheka tu,kipindi cha kampeni 2015 hizi jogging ilikua kero mitaani na wao ndo walizipromote.!
!
Zuia hiki, fungia kile, Piga risasi huyu, muue yule, wateke hawa, fungia nyimbo daah balaa tupu.
Okey viwanda
Hawa jamaa huwa ni kero halafu wababe barabarani.Anaefikiri kwa umakini na ukioanisha na hio picha ya jogging hapo utagundua kua kuna ulazma wa kupata kibali ili muweze kupatiwa kibali cha kupita barabara husika bika kusababusha foleni na msongamano wa vyombo vya usafiri na pia kwa usalama wenu ikiwezekana polisi au vyombo vya usalama kwa ujumla kuweza kuwapa escort!