DAR: Polisi yapiga marufuku mazoezi ya kukimbia 'Jogging' barabarani bila kupata vibali


laptop90

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
434
Likes
406
Points
80

laptop90

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2017
434 406 80
Maeneo ya wazi yanamilikiwa na nani na yapo mangapi? Hiyo fursa imeshatumika na ukwamo mkubwa umekuwepo. Makamu Rais amesisitiza mazoezi. Watu wameitikia kwa kutumia barabara. Badala ya matamko ya kipuuzi ya kukataza, jeshi la polisi lingetumia busara kuongea na makamu wa Rais namna bora ya kutekeleza hilo siku za weekend.
Kwanini wasitumie barabara za mitaani wanatumia barabara kuu?mbn sisi tunakimbia za mitaani kukwepa magari hao wengine wanatafuta nini huko barabara kuu?wachepuke tu hamna namna!!!
 

Forum statistics

Threads 1,204,034
Members 457,093
Posts 28,138,891